Lyrics Wewe - Mutoriah feat. Njerae
Nilikuona
juzi
ukipita,
Kajipa
moyo
na
nikakuita,
Ukasimama
nikakaribia,
Hisia
zangu
kaanza
simulia,
Kichwani
mwangu
fikira
na
mawazo
Na
tumaini
la
kujenga
mwanzo
Wa
upendo
na
huyu
mrembo
Naacha
ufisi
nabadili
mienendo
Baby
skia,
nimebadili
yangu
njia,
Hisia
ninazo
sikia,
nisha
amua,
amua
ni
wewe,
Baby
skia,
umenichanganisha
pia,
Nimemaliza
kuulizia,
nimeamua
ni
wewe,
Amua
ni
wewe
Sisemi
sikupendi,
lakini
siwezi,
Moyo
wangu
kavunjwa
mara
mia,
Lakini
bado
nataka
kuwa
nawe,
Tujenge
nyumba
tuishi
na
baadaye,
Watoto
nao
waweze
kutupenda,
Naogopa
usinivunje
moyo
Baby
skia,
nimebadili
yangu
njia,
Hisia
ninazo
sikia,
nisha
amua,
amua
ni
wewe,
Baby
skia,
umenichanganisha
pia,
Nimemaliza
kuulizia,
nimeamua
ni
wewe,
Amua
ni
wewe
Wewe,
wewe,
wewe
Wewe,
wewe,
wewe
Wewe,
wewe,
wewe
1 Wewe
2 Made up of Love
3 Dive In
4 Go
5 Tosheka
6 Mumbi's Interlude
7 Nielewe
8 Wangoro
9 Maasai Power Trap
10 Usiniringie
11 Hotm (Hold on to Me)
12 Mwanake Millennial
Attention! Feel free to leave feedback.