Mwana FA - Naamini Lyrics

Lyrics Naamini - Mwana FA



Naamini eeh ababa
Mwanzo nilipinga na kulataa
Sina budi kukubaliana na ukweli
Huu niuonao japo kua niliposikia
Kwa watu nilipuuza na kuona ni mambo
Ya kuzushwa yasiyokua na ukweli
Ndani yake lakini kadiri kuchwao naamini




Mwana FA - Naamini
Album Naamini
date of release
17-02-2015




Attention! Feel free to leave feedback.