Mwana FA - Sitoamka Lyrics

Lyrics Sitoamka - Mwana FA




Sio mbali kutoka kwako wala hata
Ni kwa neema na upendo sibkwa ujanja
Nifanye nini upate kuamini nakujali
Maisha ni mzunguko sote tutarejea
Wema wangu utakuja kuonekana baadae
Sote tunapenda kipendacho roho
Naamini utakuja kuikubali nafsi yangu





Attention! Feel free to leave feedback.