Nadia Mukami - African Lover Lyrics

Lyrics African Lover - Nadia Mukami



Nadia
Is it true umenichagua mimi
Kuna fununu unamwoa yule
Let me play the guitar tubanjuke
Tuzunguke mitaa tuwaalike
Harusi itafana wabambike wale eeeh
Isikuti love like Mayonde
No stress baby usikonde
Forever love nikupende
Chini na juu pia upande
Isiwe scandals ki Willy Poze
Roho inakuuma njoo nkupoze
Tupendane ujanani pia uzee
All my lovee I surrender
Myself to you,me I render
Eka muziki,rhumba nabenga
Chini kwa chini si tutakwenda
Tuvume ka Jux na Vanessa
Kwenye media together tunatesa
254 si ndo kusema wehee
Let me love you the African way
Let me love you like an African lady
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama
The African way
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama
The African way
Hizi kukurukakara za nini sasa
Achana na wale wagomvi wanaoleta siasa
Niambie nichangie kama ni nyimbo nikuimbie
Ezali talo makasi ya bolingo(ya bolingooo)
Isiwe scandals ki Willy Poze
Roho inakuuma njoo nkupoze
Tupendane ujanani pia uzeeni
Tuvume ka Jux na Vanessa
Kwenye media together tunatesa
254 si ndio kusema
Let me love you the African way
Let me love you like an African lady
Nkuite papa unaniita mama
Nkuite papa unaniita mama
The African way
Nkuite papa unaniita mama
Nkuite papa unaniita mama
The African way
(Njoo nikupozee)
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papito wewe
Unaniita mamito
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama(hakuna mwingine kama wewe baby)
African love(Nikuite papa unaniita mama)
African baby(Nikuite papa unaniita mama)
Nikuite papa unaniita mama
We ndo wangu babe(Nikuite papa unaniita mama)
Nikuite papa unaniita mama(nikuite papa)
Nikuite papa unaniita mama
Nikuite papa unaniita mama nikuite papa



Writer(s): Nadia Mukami


Nadia Mukami - African Lover - Single
Album African Lover - Single
date of release
21-02-2020



Attention! Feel free to leave feedback.