Lyrics Siko Sure - Darassa , Nadia Mukami
(Alexis
on
The
Beat)
Siko
sure
kama
nakupenda
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakumiss
Siko
sure
kama
nakufeel
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakukiss
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Mahaba,
mapenzi,
mbona
sitaki?
Afadhali
nimpende
alonizaa
Sina
wa
kuniita
Chichichi
mama,
nami
chichichi
baba
Chichichi
mama,
nami
chichichi
baba
Chichichi
mama,
nami
chichichi
baba
Chichichi
mama,
nami
chichichi
baba
Siko
sure
kama
nakupenda
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakumiss
Siko
sure
kama
nakufeel
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakukiss
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Labda
umetimu
stesheni,
nakuzingua
Maybe
umekuwa
na
option,
ya
kuchagua
Au
imeingia
fashion,
nisoijua
Maana
niko
kwenye
cheni,
nasuasua
Nimejaribu
kureboot
Bado
system
ina
ghushi
ghushi
Feelings
zako
zenyewe
ni
za
kuboost
Ni
ka
unavuta
sigara
stimu
haikupi
I
do
my
best,
nakwenda
race
Inaonekana
nimeshafail
test
Naona
kinoma
noma
unanichase
Kosa
sio
kosa
unashtakiwa
case
Na
mimi
bado
nakupenda
Bado
naona
tunaweza
kwenda
Na
tunayo
nafasi
ya
kuyajenga
Channel
yetu
imeingia
chenga
Siko
sure
kama
nakupenda
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakumiss
Siko
sure
kama
nakufeel
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakukiss
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
kama
nakupenda
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakumiss
Siko
sure
kama
nakufeel
tena
Ngoja
ninywe
pombe,
nione
kama
ntakukis
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe
Siko
sure
nawe,
nawe
nawe

Attention! Feel free to leave feedback.