Lyrics Wangu - Nadia Mukami
Hey,
(hmm),
Sanaipei
Hey,
Nadia
(Alexis
on
the
beat)
Wewe
nani?
Unanipigia
simu
kama
nani?
Eti
niachane
na
mume
wako
nani?
Unajua
Nadia
kweli
mi
ni
nani?
Weh
ni
nani?
Unampigia
simu
kama
nani?
Eeh
Ata
utoe
vya
ndani,
atarudi
hapa
kwangu
tu
nyumbani,
eeh
Anapenda
vidogodogo,
mwenzako
ana
vimumunya
(munya)
Mwanamke
unapenda
zogo
Tafuta
jambo
hilo
la
kufanya
(fanya)
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Kubali
yaishe,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Mwishowe
yataisha,
ni
wangu
Hivyo
vimeseji
na
kuficha
simu
havinishtui
(oo-wee)
Atachoka
nawewe
(eh),
pengine
aende
(eh),
yule
hakagui
(oo-wee)
Kelele
ya
chura
haizuii
ng'ombe
kunywa
maji
Kwangu
habanduki
Kwako
hatoboki,
nakwama
na
yeye
(kwama
na
yeye)
Anapenda
wife-material,
mwenzako
anakudanganya
(danganya)
Mwanamke
una
kasoro
(weh)
Tafuta
jambo
hilo
la
kufanya
(kufanya)
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Mwishowe
yataisha,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Kubali
yaishe,
ni
wangu
Mi
sitakoma,
koma,
koma,
koma
Mi
sitakoma,
koma,
koma,
mama,
eeh
N'takukomboa,
komboa,
komboa,
komboa
N'takukomboa,
komboa,
komboa,
msichana,
weh-ayy
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Mwishowe
yataisha,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Kubali
yaishe,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Mwishowe
yataisha,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Huyu
nasema,
ni
wangu
Oh,
ni
wangu
Kubali
yaishe,
ni
wangu
Attention! Feel free to leave feedback.