Lyrics Ninogeshe - Nandy
Eeeh
Mmmh
heeey
Aai
ni
wewe
Ubavu
wangu
mwenyewe
Ukifa
nizikwe
na
wewe
Nikifa
uzikwe
na
mie
Ooh
baby
we
ninogeshe
Ninogeshe
baby
Baby
ninogeshe
Ninogeshe
ninogeshe
baby
Baby
ninogeshe
Makwachukwachu
kushea
na
watu
sitaki
ooh
baby
Boda
boda
yangu
vipi
nipande
mishikaki
siwezi
Basi
ninogeshe
Ninogeshe
baby
Baby
ninogeshe
ninogeshe
Ninogeshe
baby
Baby
ninogeshe
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
raha
tupu
Unanipaga
furaha
hivi
Ukiniacha
utanipa
jaka
la
roho
Nipe
mimi
kwengine
we
useme
no
Mshinde
ibilisi
kwenye
kichwa
chako
oh
oh
oh
oh
Mi
mwenzako
mkiwa
baba
Mkiwa
wa
mapenzi
baba
Usinione
nalia
sana
Nalilia
mapenzi
Mi
mwenzako
mkiwa
baba
Mkiwa
wa
mapenzi
baba
Usinione
nalia
sana
Nalilia
mapenzi
Chochote
utachonambia(sawaa
sawaa)
Mi
nitaridhia
baba
Hata
ukiwa
mbali
nitasubiria
Basi
ninogeshe
Ninogeshe
baby
Baby
ninogeshe
Ninogeshe
ninogeshe
baby
Baby
ninogeshe
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Mmh
mmh
Hannn
yeeeah
iyeh
iyeh
yeeh
Tusiwe
Tyson
na
Evanda
kisa
kosa
(Kupendana
na
wewe)
Presha
kupanda
kushuka
kisa
nini
(kupendana
na
wewe)
Mi
mwenzako
nakupenda
nafurahi
(Kupendana
na
wewe)
Nivike
Pete
ya
roho
isiyotoka
Mmmh
Raha...
rahatupu
kupendana
nawewe
raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Raha...
raha
tupu
kupendana
nawewe
Raha
tupu
Mmmh
Mmmh
Attention! Feel free to leave feedback.