Lyrics Should I Let You Go - Nandy
Usiniache
peke
yangu
tafadhli
Ni
wewe
kipenzi
cha
roho
yangu
Nikuonapo
waipooza
moyo
Ni
wewe
mpenzi
wa
roho
yangu
Sifa
zako
zavutia
moyo
wangu
Niseme
nini
kuonyesha
thamani
Ya
penzi
langu
kwako
Attention! Feel free to leave feedback.