Lyrics Siwezi - Nandy
Naona
kama
dunia
imesimama
nimeibeba
kichwani
Kumbe
kuachwa
inaumaga
ivii
Tena
nazidi
umia
nikilalama
machozi
yanatiririka
Kumbe
kuachwa
ina
umaga
ivii
Umeniumbua
bora
niseme
Kiapo
nilicho
kula
bora
nikiteme
Mapenzi
shikamo
sirudii
tena
Umepatwa
na
nini
si
useme
Kinachokufanya
we
uniteme
Mapenzi
shikamo
sirudiii
tena
Sa
si
bora
ungetoa
taarifa
nijiandae
umenichokaa
Au
ndo
nimekosa
sifa
unaishia
tu
kuropokwa
Bila
wee
me
siwezi
(sauti
inarudia)
Siwezi,
siweziii
(nakumbuka
uliniambia)
Bila
wee
me
siwezi
(sauti
inarudia)
Siwezi,
siwezi
(nakumbuka
uliniambia)
Unanifanya
mi
nalewa
sana
Haipiti
siku
bila
kugombana
Mapenzi
yako
ya
kibabe
sana
Malumbano
ya
mapenzi
siyawezi
Kuna
sielewi
mana,
ivi
kwanini
kwako
na
nga
ngana
Mapenzi
gani
haya
kutesana
Wasi
wasi
wa
mapenzi
Ivi
kwanini
we
hisia
zangu
unazikondesha
unaniweka
roho
juu
Ina
maana
mie
maisha
yangu
sito
yasongesha
oh
mapenzi
Sa
si
bora
ungetoa
taarifa
nijiandae
umenichoka
Au
ndo
nimekosa
sifa
unaishia
tu
kuropokwa
Bila
wee
me
siwezi
(sauti
inarudia)
Siwezi,
siwezi
(nakumbuka
uliniambia)
Bila
wee
me
siwezi
(sauti
inarudia)
Siwezi,
siwezi
(nakumbuka
uliniambia)
Attention! Feel free to leave feedback.