Lyrics Fom Fresh - Nasara
Madini
ndio
tunawaletea
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Wakijuju
nina
dudu
on
the
beat
Wanategemea
voodoo
wapate
marupurupu
on
the
street
Nasoma
mbuku
on
repeat
Nipate
nguvu
nikispeak
Baki
nikiabudu
Rabuka
nikispit
Wanabonga
sana
nikija
wako
asthmatic
Wanachocha
sana
mziki
ni
problematic
Wakisoma
mbana
kwa
jezi
ni
sarakasi
na
Wanatoka
tara
sichezi
kwa
kandarasi
Rhyme
scheme
zenu
ni
mteja
hapatikani
(No)
Life
skills
kwenu
ni
keja
na
cash
money
Light
beam
zetu
Wakristo
ni
unlikely
juu
IG
zetu
na
life
haziambatani
Kiongozi
ni
jambazi
kwa
supu
atuchanganya
First
bodi
hana
kazi
juu
huku
kuna
wajanja
Teachings
wanadhamini
ni
zile
za
nduku
na
pia
za
khanga
Nitatangaza
injili
wakinishuku
nitasimama
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Wakivosho
naleta
kigoco
to
the
Most
High
No
distortion
kwa
devotion
ni
sifa
na
multiply
He's
my
portion
in
the
land
of
the
living
testify
Sioni
kesho
kuna
mimi
bila
mkono
wa
El
Shaddai
Kila
kovu
ni
movie
na
kila
call
ni
ya
duty
Killer
Croc
hanigusi
juu
nina
God
si
upuzi
Kumtegemea
ni
ujuzi
na
kuzembea
sitambui
(Huh)
Nina
handle
bars
utadhani
nina
nduthi
Lazima
tujichoche
lazima
tujiamini
Piga
moyo
konde
lazima
tujidhamini
Lazima
tujikokote
lazima
tujizatiti
Hata
watukoroge
lazima
tukae
fiti
Itabidi
sign
language
wakifunga
maskio
Survival
of
the
smartest
tukipitia
majaribio
Penya
kati
ya
masavage
kizazi
kinadai
Neo
Tuki
take
damage
kwa
kazi
tunabaki
real
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Fresh
fresh
fresh,
nina
fom
fresh
Buda
nina
fom,
buda
nina
fom
fresh
Attention! Feel free to leave feedback.