Lyrics Mi Nawe - Nedy Music
Kutiririka
chozi
mama
Kwangu
haina
maana
Umezidi
visa
sana
Nikuache
we
mpweke
Dharau
matusi
usiku
mchana
Chumbani
unalalama
Furaha
ndio
hakuna
Waniacha
niteseke
Kama
ruhusa
moyo
kuumia
Kwangu
ulivumilia
aaah
Kipi
mi
nimekosa
we
uniumize
Ya
ndani
siri
mi
nilifumbia,
Katu
kutarajia,
Kando
kuyasikia
yangu
mi
na
wewe
Nasimama
kilinge
linge
Sipigi
moyo
sichomi
upinde
Mi
sitaki
kwangu
uumie
You
are
my
beiby
Nasimama
kilinge
linge
Sipigi
moyo
sichomi
upinde
Mi
sitaki
kwangu
uumie
You
are
my
beiby
Kosa
mama(nitabaki
mi
na
we)
Sitakutukana
(Nitabaki
mi
na
we)
Hatutagombana(nitabaki
mi
na
we)
Mi
na
we(nitabaki
mi
na
we)
Kosa
mama(nitabaki
mi
na
we)
Sitokutukana
(nitabaki
mi
na
we)
Hatutagombana(nitabaki
mi
na
we)
Mi
na
we(nitabaki
mi
na
we)
Milango
yote
nishaifunga
Kwako
mi
nishatia
nanga
Hata
upepo
wa
kibunga
Mi
na
we
Sitateteresha
huba
We
matanga
mi
msiba
Penzi
ndoo
litashiba
Milele
Silaumu
moyo
kukupenda
Mola
alishapanga
Penzi
mi
na
we
Nashinda
kutwaa
mi
nikiomba
Pendo
usijevunja,
Tofauti
kwetu
wee
Nasimama
kilinge
linge
Sipigi
moyo
sichomi
upinde
Mi
sitaki
kwangu
uumie
You
are
my
beiby
Nasimama
kilinge
linge
Sipigi
moyo
sichomi
upinde
Mi
sitaki
kwangu
uumie
You
are
my
beiby
Kosa
mama(nitabaki
mi
na
we)
Sitakutukana
(Nitabaki
mi
na
we)
Hatutagombana(nitabaki
mi
na
we)
Mi
na
we(nitabaki
mi
na
we)
Kosa
mama(nitabaki
mi
na
we)
Sitakutukana
(Nitabaki
mi
na
we)
Hatutagombana(nitabaki
mi
na
we)
Mi
na
we(nitabaki
mi
na
we)
Mi
na
we,
mi
na
we
Nitaenda
kote
ntabaki
na
we
Mi
na
we,
mi
na
we
Nitaenda
kote
ntabaki
na
we
Iyo
mama
Mi
na
we,
mi
na
we
Nitaenda
kote
ntabaki
na
we
Mi
na
we,
Mi
na
we
Nitaenda
kote
ntabaki
na
we
Attention! Feel free to leave feedback.