Nelly-Music - Wasiwasi Lyrics

Lyrics Wasiwasi - Nelly-Music




Wasiwasi tunamalizana leo
Umeshanigeuza kitoweo
Kwa jina la Yesu
Waniacha leo
Wewe na uoga mkweo
Umefanya naisumbikia kesho
Nasahau leo
Leo nilioyonayo
Wakati Yesu anasema kesho yangu ye yuko nayo
Nile nini anajuayo
Waniingiza kwenye ugomvi ambao hujatokea
Hujatokea
Wakamilisha unabii wa mabaya
Mabaya badala ya ahadi za Bwana
Neno linasema nisiogope
Nimtafakari Bwana
Nisikuwaze wewe
La sema niamini siku zote
Niwe natumaini mara zote
Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Yesu wangu
Anasumbukia maisha yangu
Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Yesu wangu
Anasumbukia maisha yangu
Anasumbukia maisha yangu
Ajishughulisha na mambo yangu
Mwanzoni tulianza vizuri
Unisaidie kujilinda vizuri
Ila sasa mambo yamebadilika
Wanila miaka na kuiba maisha
Wanishawishi kudanganya
Kila napo taka kuonekana
Ukwasi wa baraka umenificha
Vichache navokosa wanikumbusha
Umeniweka roho juu
Kutwa taarifa za habari tu
Sijui ulipoanzia
Ila leo meza zinakugeukia
(Naanza upya)
Neno linasema nisiogope
Nimtafakari Bwana
Nisikuwaze wewe
La sema niamini siku zote
Niwe natumaini mara zote
(Naanza upya)
Neno linasema nisiogope
Nimtafakari Bwana
Nisikuwaze wewe
La sema niamini siku zote
Niwe natumaini mara zote
(Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Yesu wangu)
(Anasumbukia maisha yangu)
(Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Yesu wangu)
(Anasumbukia maisha yangu)
(Anasumbukia maisha yangu)
(Ajishughulisha na mambo yangu)
Nakuaga
Nakutoa namweka imani
Nakuaga
Namuweka usukani
Uoga ni kinyume cha imani
Hivyo wewe na mama yako wote mtoke moyoni
Nakuagua
Nachagua raha maishani
Nakuaga
Wasiniulete maombeni
Nakuaga
Kama Petro tano:saba
Shida zote namtwika baba
Nakuaga
Nimeumbwa napendeza na kutisha
Nakuaga
So low self esteem yote imekwisha
Nakuaga
Nikuone unaanza kuamsha
(Sepa)
Napendeza zaidi wasi ukinipisha
Nakuaga
Imani karibu
Nikipata shida tuwe karibu
Yesu ntamuona tukiwa ndugu
Nitampendeza nikikumudu
Imani karibu tuishi pamoja
Tuziakiki zangu taraja
Tutafakari yalio mema
Baraka tuzijaze kusukwa sukwa
Uwe ngao yangu
Tukanyage nyoka ng'e na muovu
Tushinde roho chafu
Kwa imani tutaona utukufu
Yesu ajua shida zangu
Aweza kuniokoa
(Hapana rafiki kama Yesu)
Ahadi zake Kweli
Yesu ajua shida yangu
Aweza kuniokoa
(Hapana rafiki kama Yesu)
Ahadi zake Kweli



Writer(s): Nelson Mugarula


Nelly-Music - Mhamiaji
Album Mhamiaji
date of release
10-04-2025




Attention! Feel free to leave feedback.
//}