Nikki wa Pili feat. Joh Makini & S2kizzy - Hesabu Lyrics

Lyrics Hesabu - Joh Makini , Nikki wa Pili



Switch s2kizzy baby
Habari oo habari habari habari habari oo habari oo
Habari habari habari habari ooo
Mpenzi ni kama una demu mmoja wapenzi ni kama una demu wawili
Kucheat ni kama una demu watatu ni vita ukishikwa na demu wanne
Na mpira kuvua ni game ya tano utelezi ndo utamu wa amri ya sita
Vunja days kwa demu ni siku ya saba ni hatari ukipiga ile siku ya
nane ubaba ni baada ya miezi mitisa mfukoni hauna hata shilingi kumi
amesafiri baby hafu ya mwili nayo inazidi shamiri
kiraruraru kinapanda huelewi kiraruraru hakishuki huelewi
Leo kumekucha mapenzi tena watu wanauza roho shtuka mapema



Writer(s): Salim Kassim Maengo, Nickson Simon, Baddest


Nikki wa Pili feat. Joh Makini & S2kizzy - Hesabu (feat. Joh Makini & S2kizzy) - Single
Album Hesabu (feat. Joh Makini & S2kizzy) - Single
date of release
12-02-2018

1 Hesabu



Attention! Feel free to leave feedback.