Omar Esa - The Wudu Nasheed Lyrics

Lyrics The Wudu Nasheed - Omar Esa



Ya Rabbi ya Mola wangu
Nisamehe dhambi zangu
Zikubari toba zangu
Zikubari toba zangu
(VERSE)
Ya Allah wee ni mkari
Niepushe na adhabu
Ya Allah wee ni mkari
Niepushe na adhabu
Nisamehe Mola wangu
Niingie na peponi
Nisamehe Rabbi wangu
Nisiingie na motoni
(CHORUS)
Ya Rabbi ya Mola wangu
Nisamehe dhambi zangu
Zikubari toba zangu
Zikubari toba zangu
Zikubari toba zangu
Zikubari toba zangu.
Alhamdulillah



Writer(s): Omar Esa


Omar Esa - My Muslim Family
Album My Muslim Family
date of release
01-06-2017




Attention! Feel free to leave feedback.