Ommy Dimpoz - Ni Wewe Lyrics

Lyrics Ni Wewe - Ommy Dimpoz



Oooh nanananana...
Ooh yeah Sultan 001 Nah nah nah nah...
Oooh Nimeacha pengo, bila ni wako upendo Umenipa nuru,
Umenitoa gizani Sina maelezo,
Nimeishiwa uwezo Na mwomba aliye juu, anitoe kitandani Nikawazaje?
Ingekuwajeee?
Maisha yangu na familia ningeondoka Nikawazaje?
Ingekuwaje yeah yeah Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika Oooh
Yeah, baba niwewe Oooh baba yangu, baba niwewe Oooh mungu wangu,
Baba niwewe Oooh mola baba eeeh,
Baba niwewe Oooh naona miujiza Siamini moyo ndo najiuliza, ni mimi?
Walelo waliza Kwa dua zao wakasimama na mimi Nikawazaje?
Ingekuwajeee?
Maisha yangu na familia ningeondoka Nikawazaje?
Ingekuwaje yeah yeah Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika Oooh
Yeah, baba niwewe Oooh baba yangu, baba niwewe Oooh mungu wangu,
Baba niwewe Oooh mola baba eeeh,
Baba niwewe Hakuna kama wewe mola baba
Hakuna kama wewe mola baba Alpha na omega...
Ye...
Yeah Alpha na omega...
Ye.
Yeah.
Yeah Nah nah nah nah nah...
Baba niwewe...
Baba wewe ye.
Ye.
Yeah Baba niwewe...
Mola baba baba yeah.
Baba niwewe.
Baba wewe ye.
Ye.
Yeah Baba niwee...
Mola baba baba yeah Mola wewe yeah yeah Baba yeah yeah



Writer(s): Ommy Dimpoz


Ommy Dimpoz - Ni Wewe
Album Ni Wewe
date of release
07-02-2019




Attention! Feel free to leave feedback.