Otile Brown - Baby Love Lyrics

Lyrics Baby Love - Otile Brown



Mmmh... oooh laaa... yeah yeah yeah...
Thamani yako, uzuri wako, naujua mwenyewe
Sikuachi pengine uniache wewe
Alimradi unanipenda, peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi pengine uniache wewe
Jiko we jiko langu kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu
Achana nao(nao), achana nao(nao),
Ooh achana nao, hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo,
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
Mmmmh
Oh yeah
Huna habari, jinsi gani moyo wangu unaupendeza
We ndio furaha, yangu we ndio amani yangu
We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu
Achana nao(nao), achana nao(nao),
Ooh achana nao hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
Baby Love wewe wangu mi wako wa moyo,
Oh Baby Love usije niacha kwa fitna na maneno yao
We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu.



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown - Baby Love
Album Baby Love
date of release
02-08-2018



Attention! Feel free to leave feedback.