Otile Brown feat. Jovial - Amor Lyrics

Lyrics Amor - Jovial , Otile Brown



Yeah
Ooh yeah, beiby
This one for the true lovers
Just In Love Music
Hey naumia moyo
Beiby... yeah mmh
Ningekuhonga hata hii dunia
Ooh mi amor
Ila ndo nisijajaliwa
Sina la ku offer
Zaidi ya mapenzi ya dhati
Hali yako naielewa
Wala usijali, nimekubali ulivyo
Kwako nimelowa
Nilidhani nitaelea nikajizamia, ooh
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameh
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
Kwenye shida na raha, aah-aah
Kwa kumbato lako ni sawa, sawa
Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
Kwa busu lako baba ni sawa, sawa
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala)
Hela za burger, ila twala(twala)
Nimeridhia moyo
Kwa penzi lako la dhamani
Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala)
Burger, ila twala(twala)
Nimeridhia moyo
Kwa penzi lako la thamani
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameh
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
Kwenye shida na raha, aah-aah
Kwa kumbato lako ni sawa, sawa
Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
Kwa busu lako baba ni sawa, sawa
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)
Ali mradi niko na wewe
(Iyee, iyee aaah)



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown feat. Jovial - Amor
Album Amor
date of release
20-06-2019

1 Amor



Attention! Feel free to leave feedback.