P-Tah - Flowerz Za Legends Lyrics

Lyrics Flowerz Za Legends - P-Tah



Ikcome crews walikua wana cruise kwa mic
Eeem, wakumake millions but waliwakilisha D
Kwa stage na LBs, jua ya Fundi Frank ni take over
Wakilisha Kenya,Naija, Sweden na all over
Walifanya mambo
Walifanya mambo
Walifanya mambo
Ee ee eee real G's
Wapi flowers za Vigeti, big up Kamau
Wapi flowerz za Otero, big up Mashita
Imagine hii game bila Doobeez
How would we do this
Patia legends their flowers wakiwa area
Imagine hii game bila E-sir
Kumbuka flow ya G-wiji Miti
R. I. P Wikimosh Poxi Pressure na King Kong
Game bado strong, new stars wana kua born
Whatever the G's My idols can never be my rivals
Jomba we ndio ulini tafsiria hii madness ilikua kwa head
Ukani show Kiswahili inaweza chapa juu ya kick na snare
Uka ni sanifia hii art ukatoa curse words uka nipa ikiwa pure
Ukai-make relatable influence yako undebatable
Delivery yako like no other in the 254
Hii ilikua Kenya 123
Next na Otero ulitutell stories, ukituambia vile walikua wanabonga tu
Kado yako kithingithia mka open yangu mental
Na kunipa hii swag ni ki swig
Vile mlikua mnakashif ill za society with conviction
It broke my heart kusikia ulikua unastruggle na addiction
But ka strong man lazima tutimize mission
Na for now here goes your flowers, thanks for the vision
Ni painful kucheki vile industry ile wa mishandle
So zangu sandle nakupa coz uli-lead the way when we had none
Wapi flowers za Vigeti, big up Kamau
Wapi flowerz za Otero, big up Mashita
Imagine hii game bila Doobeez
How would we do this
Patia legends their flowers wakiwa area
Imagine hii game bila E-sir
Kumbuka flow ya G-wiji Miti
R. I. P Wikimosh Poxi Pressure na King Kong
Game bado strong new stars wana kua born
Ted Josiah, Big Ted, Obach Machoka na Gathu
Mli pave way kwa industry youth wanakulia
Necessary Noize iyo kelele ilikua muhimu
Klepto mli swing swing mkachapia hearts za fans
Jah Key Maley, King Tubbies, Achok, Konya, Roba Johny, King Monday reggae kuruka
Rip Mighty King Kong we bado ndio ladies choice
Hii ni thanks na tribute tu hawa corner stone wa hii muziki
Radio presenters, producers, ma dj big up urself
Now ebu imagine kama K-Shaka wenge make it to Carnivore
Imagine kama Ted Josiah hange record first chapter
Imagine ka Juacali na Clemmo wange kuwa neighbours
Imagine ka Nonini ange andika Manzi wa Nairobi
Big Kantai rest in power King
Tu the new kings let's let's
Wapi flowers za Vigeti, big up Kamau
Wapi flowerz za Otero, big up Mashita
Imagine hii game bila Doobeez
How would we do this
Patia legends their flowers wakiwa area
Imagine hii game bila E-sir
Kumbuka flow ya G-wiji Miti
R. I. P Wikimosh Poxi Pressure na King Kong
Game bado strong new stars wana kua born
To the kings and Queens of tomorrow
Trio mio key to the city
Femi one hatari kwenye lango
Ssaru salute more fire
Shhhhs Shhhhs
Ngumi bado ni mbwegze
GoVa
Wapi statue za the watu wa arts, Hall of fame
Real monuments something tangible maybe roads
Tuna make history everyday document it
Wapi flowers za Vigeti, big up Kamau
Wapi flowerz za Otero, big up Mashita
Imagine hii game bila Doobeez
How would we do this
Patia legends their flowers wakiwa area
Imagine hii game bila E-sir
Kumbuka flow ya G-wiji Miti
R. I. P Wikimosh Poxi Pressure na King Kong
Game bado strong new stars wana kua born



Writer(s): Peter Mutisya


P-Tah - League of My Own 2
Album League of My Own 2
date of release
25-07-2021




Attention! Feel free to leave feedback.