PNC - Yule Yule Lyrics

Lyrics Yule Yule - PNC




Oooh
Umesema na masimango
Vile visa na majigambo
Mixer kuniita mtambo
Isanaduni ikamvumilia
Fadhila yangu kwako ikajeuka madhila
Ukanigeuza
Jamvi we ukanikanya ka aaaasaa!
Molandio mpaji sitokata tamaa
Japo leo sipati aminiatoniacha nyuma
Molandio mpaji sitokata tamaa japo leo sipati aminiatoniacha nyumaa
Nimebadilika nini wakati uliniona wanini walaukunithamini aaah
Nimebadilika nini wakati uliniona wanini walaukunithaminii!!
Niyuleyule
(Iye)
Ulioniumiza
(Iye)
Ukaniliza
(Iye)
Ukanidharau
Niyuleyule
(Iye)
Ulioniumiza
(Iye)
Ukaniliza
(Iye)
Ukanidharau
Niheli donda la moto kuliko la mapenzi linamsoto ulinigeuza mtoto ukanifanya tahila kishauka teleza japo uliniumiza saana ila sikukata tamaa nikapiga moyo konde





Attention! Feel free to leave feedback.