Papii Kocha - Waambie Lyrics

Lyrics Waambie - Papii Kocha

Dunia inazama naiangalia
Sina cha kufanya rohoni naumia
Mawazo yangu ooh naangamia
Uko wap Mungu wangu hunioni weh nalia
Kumbe ulikua unasikia unaniangalia weweee
Likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaaa
Kumbe ulikua unasikia aaaahhhhh
Na likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaaa
Mungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitika
Mungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifika
Mungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohh
Mungu waambie ni wewe tu uliesababisha leo imefika
Waambie kila siku ni zawadi
Hakuna heshima inayozidi uhaii
Ni neema na rehema wewe na hekima wazitimiza ahadi
(Waambie) hawapaswi kukata tamaa
Sababu daima haupo mbali
Ukipotea mwanga
Gizani ndo nyota una mwanga mkali
(Waambie) wasiache tumaini ndo imani
Wasiache kukuamini ndo amani
Mungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitika
Mungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifika
Mungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohh
Mungu waambie ni wewe tu uliesababisha leo imefika
Mungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitika
Mungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifika
Mungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohh
Mungu waambie ni wewe tu uliesababisha leo imefika
End.

Writer(s): Natasha Tht, Papii Kocha

Papii Kocha - Waambie
Album Waambie
date of release
23-04-2018

Attention! Feel free to leave feedback.