Paul Clement - Usiyeshindwa Lyrics

Lyrics Usiyeshindwa - Paul Clement



Mauti nayo, mauti nayo ulishinda
Unaitwa Simba tena wa Yuda
Kushindwa hujui hiyo agenda
Ndio maana mimi nakuimba
Unaponya bila Bila sindano kudunga
Kwa nguvu za giza bwana wewe hunilinda
Kwenye mangonjwa bwana wewe huniponya
Nikiwa na wewe Sina budi kuringa
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote-chochote kile
Wewe ni wa pekee, wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee (one more time)
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Ni wewe, usiyeshindwa
Ni wewe, oh mungu wangu, usiyeshindwa
Oh mungu wangu, ni wewe, yeah baba yangu, usiyeshindwa
Ni wewe, niwewe, ni wewe eh eh, usiyeshindwa
Ni wewe bwana, niwewe, mh mh, usiyeshindwa
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe (no no no) na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema tena we mfalme
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe, usiyeshindwa, ni wewe bwana, ni wewe
Mungu wa miungu, usiyeshindwa
Mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana
Ni wewe, wewe ni mungu usiyendwa bwana, usiyeshindwa
Ulikuweko toka zamani, ni wewe
Utakuwepo hata milele, usiyeshindwa
Ati umefanya mbingu na nchi, ni wewe
Na ukatufanya kwa mfano wako, usiyeshindwa
Umenifanya kwa sura yako, ni wewe
Ili nifanane na wewe mungu, usiyeshindwa
Unaishi ndani yangu, ni wewe
Tena unadumu ndani yangu, usiyeshindwa
Utabaki milele na milele, ni wewe
Wala hufananishwi na mtu yeyote, usiyeshindwa
Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, ni wewe
Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, usiyeshindwa, oh
Sema ni ni wewe bwana, ni wewe
Ni wewe, usiyeshindwa, niwewe, ni wewe
Umeketi juu ya vyote, usiyeshindwa
Bwana ni wewe, ni wewe
Wala sina mashaka na wewe mfalme, usiyeshindwa
Bwana ni wewe, ni wewe
Tunakutaja, tunakutaja, usiyeshindwa
Bwana ni wewe, ni wewe
Unadumu vizazi na vizazi, vizazi na vizazi, usiyeshindwa
Ni wewe, usiyeshindwa, no
Ni wewe, eh eh eh eh, usiyeshindwa
Ni wewe, eheheheheeh, usiyeshindwa
Ni wewe, eheehehee, usiyeshindwa oh oooh
Ni wewe, sema usiyeshindwa (usiyeshindwa)
Oh oh mh (ni wewe usiyeshindwa)
Mungu wangu mungu wangu (ni wewe usiyeshindwa)
One more time say (ni wewe usiyeshindwa)



Writer(s): Paul Clement


Paul Clement - Usiyeshindwa
Album Usiyeshindwa
date of release
10-06-2019



Attention! Feel free to leave feedback.