Proff - Kidogo Lyrics

Lyrics Kidogo - Proff




Kidogo
Kidogo
Nauliza kama naeza kuona kidogo
Dakika moja tuzungumze kidogo
Eeeh
Kuna vile nimetaka for a lobg time
Na sioni ubaya nikiuliza
Ndio maana najaribu uelewe
Usiharakishe



Writer(s): rr



Attention! Feel free to leave feedback.