Lyrics Jina Langu - Proffesor Jay
Jina
langu
linavuma
kwenye
mitaa
Jina
langu
lina
hadhi
ya
kisupa
staa
Jina
langu
linaongeza
idadi
ya
maadui
Wengine
nawajua
wengine
siwatambui
Jina
langu.kwikwi
eyo
J
tunakuzimia
Jina
langu.J
alosto
ameshazeeka
Joseph
Haule
mc
shupavu
wa
mitulinga
Mchawi
wa
rhymes
mti
mkavu
Macho
ya
chinichini
yanatizama
nyendo
zangu
Najua
hiyo
yote
sababu
ya
kipaji
changu
Sitaki
kujua
nani
adui
nani
mwenzangu
Na
kwako
muumba
wangu
ongeza
hekima
kwangu
Hiyo
sipo
ukingoni
miguu
nje
maji
ya
shingoni
Mwenye
tungo
badili
wamejizika
shimoni
Nani
kabaki
wapo
kitaani
mshumaa
hauwaki
Wameshindwa
kuikabili
fataki
za
itifaki
Vina
vyangu
mahili
kwenye
giza
kama
kandili
Na
kwenye
vichwa
vya
wapotevu
naacha
kitendawili
Ni
J
mti
mkavu
niite
nyota
nyang'avu
Inayopigwa
vita
na
wenye
hoja
chakavu
Bado
nachakarika
na
naona
kaa
za
njoshi
Eeh!!
mola
ni
lini
itakwisha
hii
mikosi
Najuta
kuitwa
supa
staa
naona
karaha
Mangurubange
na
washikaji
yananigasi
nashangaa
Huu
ni
mtafaruku
na
kero
kwenye
mitaa
J
njoo
baba
ni
better
tuvute
raha
Weka
mapenzi
kando
nipeni
hoja
za
msingi
Wangapi
mtanipenda
nikiwa
sina
shilingi
Jina
langu
linavuma
kwenye
mitaa
Jina
langu
lina
hadhi
ya
kisupa
staa
Jina
langu
linaongeza
idadi
ya
maadui
Wengine
nawajua
wengine
siwatambui
Jina
langu.kwikwi
eyo
J
tunakuzimia
Jina
langu.J
alosto
ameshazeeka
Joseph
Haule
mc
shupavu
wa
mitulinga
Mchawi
wa
rhymes
mti
mkavu
Thamani
ya
ubongo
wangu
ni
kubwa
kuliko
bingo
Nashangaa
mapromota
bado
mnaleta
maringo
Bado
napiga
goti
kwa
mungu
aniongezee
Kwenu
vijana
wa
bongo
poleni
na
starehe
Jasho
langu
la
chuma
lataka
moyo
kulila
Na
wote
mtabana
ngenge
wachawi
na
wenye
hila
Nimeshasebenza
na
shuluba
nyingi
za
maisha
Kumbukumbu
tu
ninazo
mr
ticha
.mr
ticha
Wape
hi
marekani
wabongo
mashabiki
wa
mbali
Bongo
dar
es
salaam
mitego
bado
si
shwari
Ninapokosa
hela
washikaji
wanatoweka
Ninaporekebisha
pumbavu
wanasogea
Naamini
akili
yangu
ina
akili
kuliko
mchwa
Na
ninajua
hoja
mpya
ndo
siku
inapokucha
Mwanga
na
saluti
kumkoma
nyani
jirani
Bado
nipo
makini
siogopi
mpinzani
wa
jadi
Maneno
yangu
yajivu
ni
kama
muarobaini
Jamii
inakubali
vibwengo
chomeni
chini
Wapo
baadhi
ya
watu
wanaotaka
kunihukumu
Wanatamani
ningekuwa
sioni
waninyweshe
sumu
Wengi
wananipenda
wachache
hamnipendi
Skendo
mnazonipa
na
mimi
sipendi
Mbio
zipo
ukingoni
chomeka
mbavu
za
mbwa
Na
chochote
mnachosema
bab
kubwa
Jina
langu
linavuma
kwenye
mitaa
Jina
langu
lina
hadhi
ya
kisupa
staa
Jina
langu
linaongeza
idadi
ya
maadui
Wengine
nawajua
wengine
siwatambui
Jina
langu.kwikwi
eyo
J
tunakuzimia
Jina
langu.J
alosto
ameshazeeka
Joseph
Haule
mc
shupavu
wa
mitulinga
Mchawi
wa
rhymes
mti
mkavu
J
tunakuzimia
at
yahoo
dot
com
Pande
zote
nitakwenda
lakini
bongo
ndo
hom
Nazidi
kuumiza
kichwa
nazidi
kupata
wafuasi
Maisha
ya
starehe
na
ngono
kwa
sasa
basi
Nafungua
milango
kwa
ajili
ya
kizazi
kipya
Na
chance
bado
ipo
wazi
kwa
wote
waliojificha
Kwenye
matamasha
nilidhulumiwa
mshiko
Mapromota
walikimbia
kabla
ya
kufanya
malipo
Sasa
jino
kwa
jino
nakwenda
nao
sambamba
Napotembea
haki
siogopi
nani
katanda
Leo
nathibitisha
ya
kwamba
kweli
natisha
Ni
fukuto
ulanjonjo
kwa
wote
wanaobisha
Fukara
wa
kipato
nina
akili
za
kitajiri
Na
muda
utakapozidi
naamini
wote
mtakiri
HBC
muongozo
wa
ma-mc
kamati
kuu
ya
wanga
imebi
Jina
langu
linavuma
kwenye
mitaa
Jina
langu
lina
hadhi
ya
kisupa
staa
Jina
langu
linaongeza
idadi
ya
maadui
Wengine
nawajua
wengine
siwatambui
Jina
langu.kwikwi
eyo
J
tunakuzimia
Jina
langu.J
alosto
ameshazeeka
Joseph
Haule
mc
shupavu
wa
mitulinga
Mchawi
wa
rhymes
mti
mkavu
Attention! Feel free to leave feedback.