Rabbit King Kaka feat. Rich Mavoko - Lini Lyrics

Lyrics Lini - Rich Mavoko , Rabbit King Kaka



Nachukia unaenda, furaha ulikuja
Miaka ngapi wewe, bado hujanichuja
Mapenzi ingekuwa mkate ningelia na jam
Mapenzi ilianzia tanga Mombasa mwafaham
Utizame mbele utabaki nyuma
Gazeti kutuongelea mablogger nao chocha
Tunatokotea nilishakujulisha ocha Mami kuja tuchore picha Hata konokono hufika
Unakaa ka miss wa nchi flani
Sitakudiss kuja kwangu kejani
Nimechoka kuficha nikuanike hadharani
Nimejaribu mimi kuheshimu ilinitunze langu penzi
Mbona mapenzi yanipa wazimu
Oh baby am going crazy
Baby njoo ooh Baby njoo ooh Nikimuona roho huskip beat ka masaai
Safi na tattoo ya hearts kwa thigh
Pesa unajua kupata matembezi ya bata
Maringo ya tausi eyelashes za paka
Shika roho nimeitikia ku gamble
Story gutter press sisi power couple
Ukiwa na mimi
Never scared Bone Crusher
Mi na we ni unit ka Gabu Frasha
You are my main girl team yangu haina sub
Come tupige selfie Mejja Maddy dabotap
Nikutangaze wapi hata gazeti za dar
Pulse ya Nairobi peppers K-LA
Watuanike kama Naomi na Charles Taylor
Tunarhyme kiunguo viatu Chuck Taylor
Nimejaribu mimi kuheshimu ilinitunze langu penzi
Mbona mapenzi yanipa wazimu
Oh baby am going crazy
Baby njoo ooh Baby njoo ooh Nifunge mlango chapi saa zingine unaniudhi
Nakumbuka unaroho safi kiuno ya nyuki
Tule zambarau zimedungwa kwa ice cream
Jirani hujua uko around vile we uscream
Natamani uwe nyimbo nikuimbe kila mara
Kwangu we ulimbo waninata tena raha
Ningekuwa na mihela nilipie billboard
Kwa sasa ni na voucher tu
Nipigie radio kuchocha tu
Kuja twende ocha boo
Nimejaribu mimi kuheshimu ilinitunze langu penzi
Mbona mapenzi yanipa wazimu
Oh baby am going crazy
Baby njoo ooh Baby njoo ooh Email This
BlogThis!



Writer(s): Kennedy Otieno Ombima


Rabbit King Kaka feat. Rich Mavoko - Ride or Die
Album Ride or Die
date of release
20-11-2015

1 Lini



Attention! Feel free to leave feedback.