Lyrics Protocol (Protokali) - Rama Dee
Nafata
protocol
Protocol
kali
Nimekaa
jela
nyingi
za
mapenzi
Ila
kwako
nipo
huru
Kwenye
Liza
kinene
ikatokea
huru
Mateso
mengi
nimepata
nashukuru
nipo
huru
Oooh
Kwenye
Liza
kinene
ukatokea
nuru
Pepo
kali
zinavuma
Nifiche
kwenye
pwani
ya
huba
Pwani
na
dhuroba
Nikugande
kama
ruba
Ujana
mwingi
pupa
Nahisi
nimezaliwa
upya
Kwenye
Liza
kinene
ukatokea
nuru
Mateso
mengi
nimepata
nashukuru
nipo
huru
Ooh
Nafata
protocol
Protocolkali
nikiwa
na
mtoto
Mtoto
mkali
×2
Nampa
kitu
anapendaga
eeh
Ndo
kitu
napendaga
eeh
Na
kula
vyako
bila
wasiwasi
Ladha
yako
haina
mfano
za
kwako
hazipati
And
you
know
Kutwa
mara
tatu
we
go
Na
nina
taka
kujua
kinachonikosha
kwako
wewe
dada
Rangi
yako
ya
dhahabu
mjeledi
inanisulubu
kweli
vilevi
Na
haujipangi
sana
upo
ready
Na
ninao
kuhitaji
popote
upo
ready
Kwenye
kiza
kinene
Ukatokea
nuru
Mateso
mengi
nimepata
Nashukuru
nipo
huru
Unafata
protocol
Protocal
kali
Nikiwa
na
mtoto
Mtoto
mkali
Nampa
kitu
anapendaga
Ndo
kitu
napendaga
eeh×2
End
Attention! Feel free to leave feedback.