Lyrics Magufuli Jembe - Rayvanny
Jembe
Jembe
Jembe
Jembe
Jembe
Jembe
Tanzania
ya
leo
inapendeza
Sababu
ya
Magufuli
Nidhamu
kwa
watumishi
wa
umma
Twahudumiwa
vizuri
Rushwa
imekomeshwa
sio
kama
zamani
Siku
hizi
hata
vigogo
wanafikishwa
mahakamani
Fikra
nzuri
za
baba
wa
taifa
kaendeleza
hadi
leo
Asilimia
arobaini
ya
mapato
kwa
maendeleo
Mtu
wa
msimamo
mataifa
mengi
yamekoma
Mikopo
isio
na
tija
na
miradi
feki
amekoma
Alisema
imekuwa
sirikali
sasa
ipo
Dodoma
Kajenga
ikulu
cha
mwino
na
kaipiga
teke
Corona
Aya
flyover
TAZARA
Ubungo,
Ndio!
Standard
gauge
je?
Ndio
Hospitali
na
zahanati?
Ndio
Shule
bure
kwa
wanafunzi?
Ndio
Magufuli
jembe
Linalima,
linalima
lima
linalima
Magufuli
jembe
letu
Linalima,
linalima
lima
linalima
CCM
jembe
Linalima,
linalima
lima
linalima
CCM
jembe
letu
Linalima,
linalima
linalima
Taifa
nzima
linamuombea
mema
Magufuli
Wakulima
kawapigania
walipwe
vizuri
Wamachinga,
wanampenda
Madereva,
Wanampenda
Mama
ntilie,
wanampenda
Hadi
watoto,
wanampenda
Kina
mama,
wanampenda
Vijana
na
wazee,
wanampenda
Hadi
hadi
wapinzani,
wanampenda
Japo
wanavunga,
wanampenda
Haya
maji
na
umeme
hadi
vijijini,
Ndio!
Nidhamu
serikalini,
Ndio
Mambo
nimetukwa
toka
juu
hakuna,
Ndio
Ndege
kama
zote,
Ndio
Magufuli
jembe
Linalima,
linalima
lima
linalima
Magufuli
jembe
letu
Linalima,
linalima
lima
linalima
CCM
jembe
Linalima,
linalima
lima
linalima
CCM
jembe
letu
Linalima,
linalima
linalima
Haya
twende
Pasha,
pasha
Pasha,
pasha
pasha
Kina
mama
pasha,
pasha
Pasha
mikono
pasha
Kina
baba
pasha,
pasha
Pasha
pasha
pasha
Twendee
Magufuli,
choma
Mama
Samia,
choma
Kassim
Majaliwa,
choma
Hadi
mangula,
choma
Haya
twende
pole
pole,
piga
makofi
Mashiruali
piga
makofi
Dr
Sheni
piga
makofi
Wigulu
Chemba
piga
makofi
Makonda
mikono
juu
Kushoto
kulia,
kushoto
kulia
Kibakwala
mikono
juu
Kushoto
kulia,
kushoto
kulia
Mavunde
mikono
juu
Kushoto
kulia,
kushoto
kulia
Tatulia
mikono
juu
Kushoto
kulia,
kushoto
kulia
Peperusha
bendera,
aah
bendera,
madiwani
wote
Peperusha
bendera,
aah
bendera,
wabunge
wote
Peperusha
bendera,
aah
bendera,
kina
mama
wote
Peperusha
bendera,
aah
bendera,
CCM
Peperusha
bendera,
aah
bendera
Attention! Feel free to leave feedback.