Lyrics Sikupendi - Rayvanny
Sikupendi...
(hmmmm)
Sikupendi...
(aaaahh)
Sikupendi...
(eeeehh)
Sikupendi
(Max
Maixer)
Sikupendi
Kichwa
wanipasua
Unanichapa
fimbo
Moyoni
napata
tabu
Unajishaua
Unamalingo
Kama
una
sura
ya
Dhahabu
Ni
miaka
sasa
nakufata
Ndala
zangu
zote
umekata
Kutoka
tegeta
hadi
tabata
Mpaka
visigino
vimechacha
Mara
nasikia
kuna
bakari
kinyozi
Ulishampa
Hadi
kaka
yake
Rose
Kwani
we
ni
pilipili
unitoe
machozi
Nikikufata
waniletea
mapozi
Mapenzi
uvumilivu
unajua
Ila
kwako
numeshidwa
Upendo
sasa
majivu
Umeungua
Basi
mama
we
ndo
Bima
Oooh
mamy
looh
(Sikupendi)
Utanitoa
roho
(Sikupendi)
Kila
siku
jibu
lako
no
(Sikupendi)
Sikutamani
ng'o
(Sikupendi)
Naonyesha
dhahili
(Sikupendi)
Sikutamani
tena
(Sikupendi)
Nimeghaili
(Sikupendi)
Na
kwenu
siji
tena
(Sikupendi)
Hadi
nahisi
gundu
mzee
mwenzenu
Kila
mambo
nikiset
Nimegeuka
mlinzi
nyumbani
kwenu
Kila
siku
kwenye
geti
Nilikufata
mpaka
kigogo
Kwenye
shughuri
yake
mama
Asha
Modo
Ukanitukana
matusi
nina
shobo
Pembeni
yupo
bwana
yako
Bengo
Chogo
Akanitimba
migumi
kede
kede
Nikawa
mjinga
tena
bwege
bwege
Kama
nimetinga
Pombe
bege
bege
Alinishinda
nikawa
lege
lege
Heee
Eeeh
Nakata
tamaa
kuwa
nawe
Nikirudisha
kumbukumbu
Nilipo
kuona
na
masawe
Kwenye
guest
ya
manungu
Ulifanya
nipagawe
Kwa
mawazo
na
uchungu
Nilikesha
nje
oh
mama
wee
Nikawa
chakula
cha
mbu
Mapenzi
uvumilivu
Unajua
Ila
kwako
numeshidwa
Upendo
sasa
majivu
umeungua
Basi
mama
we
ndo
Bima
Oooh
mamy
looh
(Sikupendi)
Utanitoa
roho
(Sikupendi)
Kila
siku
jibu
lako
no
(Sikupendi)
Sikutamani
ng'o
(Sikupendi)
Naonyesha
dhahili
(Sikupendi)
Sikutamani
tena
(Sikupendi)
Nimeghaili
(Sikupendi)
Na
kwenu
siji
tena
(Sikupendi)
Oooh
mamy
looh
(Sikupendi)
Utanitoa
roho
(Sikupendi)
Kila
siku
jibu
lako
no
(Sikupendi)
Sikutamani
ng'o
(Sikupendi)
Naonyesha
dhahili
(Sikupendi)
Sikutamani
tena
(Sikupendi)
Nimeghaili
(Sikupendi)
Na
kwenu
siji
tena
(Sikupendi)

Attention! Feel free to leave feedback.