Lyrics Wanaweweseka - Rayvanny
Uuuuuu
Wanaweweseka
hao
Wanaweweseka
hao
Wenyu
uwivu
wasijinyonge
Ila
wapigwe
shoti
wafee
Kingasti
wangu
yuko
hapa
Usinishike
bega
niache
Nakupa
yote
mumunya,
tamu
wa
pipi
mate
Baby
kwa
mapenzi
huko
chuo,
hauko
tena
kindergarten
Marashi
yake
ma,
amechanganya
na
tangau
Mtoto
kama
saida
karoli
anavyo
chambua
karanga
Na
simuwachi
nampenda,
ya
pete
mi
chanda
L
O
V
E,(i
love
you)
kama
kasimu
muganga
Pressure
inapanda,
pressure
inashuka
Wanaovimba
watapasuka
Niki
kuposti
namba
insta
pata
chafuka
Watatamani
huhack
waje
kufuta
Ooh
lelele
wanaweweseka
Nimekupa
bundle
watuperuzi,
wanaweweseka
Mama
nipe
mambo
tuwauthii,
wanaweweseka
Basi
cheka
cheka
uki
deka
deka
mami,
wanaweweseka
Baby
eeh,
tausi
maingona
Teke
eeh
umbo
kifusi,
nyuma
kishinoni
Nikubebe
eeh
na
wenye
chuki
wakate
shingoni
Sitakilete
eeh
kina
bunduki,
na
wanandalido
Udongo
gani,
unaokufinyanga
mali
weh
Mganga
gani
alopiga
manyanga
mali
weh
Majungu
simutachi
ayaya,
maneno
sio
radi
ayaya
Jasho
lina
watoka
maji,
(I
love
you
daddy)
Marashi
yake
ma,
amechanganya
na
tangau
Mtoto
kama
saida
karoli
anavyo
chambua
karanga
Na
simuwachi
nampenda,
ya
pete
mi
chanda
L
O
V
E,(i
love
you)
kama
kasimu
muganga
Pressure
inapanda,
pressure
inashuka
Wanaovimba
watapasuka
Niki
kuposti
namba
insta
pata
chafuka
Watatamani
huhack
waje
kufuta
Ooh
lelele
wanaweweseka
Nimekupa
bundle
watuperuzi,
wanaweweseka
Mama
nipe
mambo
tuwauthii,
wanaweweseka
Basi
cheka
cheka
uki
deka
deka
mami,
wanaweweseka
Attention! Feel free to leave feedback.