Lyrics Zezeta - Rayvanny
Baby
mooh
Nifanye
big
G
unitafune
Ama
niwe
sindano
Nawe
uwe
uzi
nguo
nifume
Amaniwe
ndoo
Uwe
maji
yangu
na
wanune
Nifanye
kucha
Kama
ukiwashwa
mi
nikukune
Sema
mama
Niweduka
la
vipodozi
Nikuvutie
kwa
kila
kitu
Chumbani
uwe
simu
Unalia
hata
nikiku
beep
Nisimame
kama
kinyozi
Nikikunyoa
unanisifu
Niwe
godoro
na
shuka
Nilale
na
wewe
kila
usiku
Shika
funguo
gari
ya
bosi
wangu
Kwako
zezeta
zezeta
Niko
radhi
nifunge
ule
wewe
Mimi
zezeta
zezeta
Au
unataka
hata
nyumba
ya
baba
yangu
Kwako
zezeta
zezeta
Kifaranga
nibebe
kama
mwewe
Mimi
zezeta
zezeta
Mama
sitaki
paka
na
panya
Vita
za
nini
Mi
nataka
niwe
mafuta
Ujipakaze
kote
mwilini
eeh
Ama
niwe
taulo
kanga
laini
Ukioga
ninakufata
Kutoka
juu
mpaka
kwa
chini
Maashallah
Ulivyo
mwenzako
taabani
Naeshimu
chumba
Siendi
varandani
Tena
sikufanyi
vocha
Soko
dukani
Nikutumbie
mchumba
Nikutupe
jalalani
Sema
mama
Niwe
duka
la
vipodozi
Nikuvutie
kwa
kila
kitu
Chumbani
uwe
simu
Unalia
hata
niku-beep
Nisimame
kama
kinyozi
Nikikunyoa
unanisifu
Niwe
godoro
na
shuka
Nilale
nawe
kila
usiku
Shika
funguo
gari
ya
bosi
wangu
Kwako
zezeta
zezeta
Niko
radhi
nifunge
ule
wewe
Mimi
zezeta
zezeta
Au
unataka
hata
nyumba
ya
baba
yangu
Kwako
zezeta
zezeta
Kifaranga
nibebe
kama
mwewe
Mimi
zezeta
zezeta
Shika
funguo
gari
ya
bosi
wangu
Kwako
zezeta
zezeta
Niko
radhi
nifunge
ule
wewe
Mimi
zezeta
zezeta
Au
unataka
hata
nyumba
ya
baba
yangu
Kwako
zezeta
zezeta
Kifaranga
nibebe
kama
mwewe
Mimi
zezeta
zezeta
Mashilawadu
wanyapia
nyapia
Mashilawadu
wananyatia
nyatia
Mashilawadu
wapate
kutangazia
Mashilawadu
kuwa
makini
mama
Mashilawadu
wakudandia
dandia
Mashilawadu
vya
watu
kupakazia
Mashilawadu
macho
funika
pazia
Mashilawadu
kuws
makini
mama
eeh
Attention! Feel free to leave feedback.