Rayvanny feat. Aminux - Tingisha (feat. Aminux) - translation of the lyrics into English

Lyrics and translation Rayvanny feat. Aminux - Tingisha (feat. Aminux)




Tingisha (feat. Aminux)
Shake It (feat. Aminux)
(It's S2kizzy beiby)
(It's S2kizzy baby)
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Like a match (Shake it!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Let's see if there's a stick (Shake it!)
Mkono weka kwenye kiti
Put your hand on the seat
(Tingisha!)
(Shake it!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)
Move your hips (Shake it!)
Viuno vimekatika na-ti!
Your hips are broken, baby!
Masha Love anatingish ma-ti (Ti ti ti)
Masha Love is shaking her hips (Ti ti ti)
Vuka kanga dera nitafua sha-ti!
I'll cross the kanga dera and wash the shirt!
Ukilewa nipe katika-ti-ti-ti!
If you get drunk, give it to me, baby!
(Aah aah aah, aah aah aah)
(Aah aah aah, aah aah aah)
Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Like a match (Shake it!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Let's see if there's a stick (Shake it!)
Mkono weka kwenye kiti (Tingisha!)
Put your hand on the seat (Shake it!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)
Move your hips (Shake it!)
(Aah aah aah, aah aah aah)[?]
(Aah aah aah, aah aah aah)[?]
(Aah aah aah, aah aah aah)
(Aah aah aah, aah aah aah)
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Yaani kama kiberiti (Tingisha!
Like a match (Shake it!
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Let's see if there's a stick (Shake it!)
Mkono weka kwenye kiti (Tingisha!)
Put your hand on the seat (Shake it!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)
Move your hips (Shake it!)
Baikoko mdumange
Let's get this party started
Moshi wa bangi shushia na gambe
Smoke the weed, let it out with the drums
Kuna watoto chai makandeWazee wa kusafiri busaa kwa Mpalange
There are kids drinking tea, elders traveling to Mpalange
(Aiyeyeye)
(Aiyeyeye)
Dada ita wenzako leo ghetto kuna pa-ti!
Girl, bring your friends, today there's a party in the ghetto!
Alafu mimi ndo King Mswa-ti-ti-ti!
And I am the King, Mswa-ti-ti-ti!
Wakitaka pombe zipo keiva-ti
If you want beer, there is a keg
Ali kasusu ipo kwa kaba-ti-ti-ti!
Ali kasusu is in the cabinet!
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Shake it
Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Like a match (Shake it!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Let's see if there's a stick (Shake it!)
Mkono weka kwenye kiti
Put your hand on the seat
(Tingisha!)
(Shake it!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)
Move your hips (Shake it!)





Writer(s): Raymond Shaban Mwakyusa, Salim Kassim Maengo, Amine Temri


Attention! Feel free to leave feedback.