Lyrics Tetema - Diamond Platnumz , Rayvanny
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Tipwa
tipwa
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Shuka
chini
tetema
(ooh
mama
tetema)
Its
s2kizzy
baby
Tetema
yaani
kama
umepigwa
shoti
Tetema
nipe
migandisho
ya
roboti
Tetema
ukutani
hadi
kwenye
kochi
Tetema
kwenye
giza
mama
shika
pochi
Katoto
kamenoga
(ooh
mama)
Nakapandizi
za
bukoba
(ooh
mama)
Nakapadisha
bodaboda
(ooh
mama)
Kakichoka
kuchuma
mboga
(ooh
mama)
Aaahh
mama
shigidi
aah
Nakufa
wooi
wicked
aahh
Aahh
mama
shigidi
konki
Fire,
moto,
liquidy
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Tipwa
tipwa
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Shuka
chini
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Tipwa
tipwa
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Shuka
chini
tetema
(ooh
mama
tetema)
Tetema!
Yaani
kama
vile
generator
(tetema)
Kama
mwizi
kakupiga
ngeta
(tetema)
Mwendo
wa
kutwanga
kupepeta
(tetema)
Chini
nikipuliza
tarumbeta
Asa
wooza!
Wooza!
Cheza
shogoloza
Kufa
chali
kama
mende
Maria
Roza
poza
tungi
limepoza
Twende
nikupige
nyembe
(brrr...
Okay)
You
make
my
mind
go
kolo
(kolooo...
kolo)
Ukinuna
tu
mie
doro
(Dorooo...
doro)
Washa!
Saa
nipe
za
digidigi
Washa!
Miuno
ya
giggy
giggy
Washa!
Funga
kibindo
mkwiji
kwiji
Washa!
Nikunyonge
ka
ziggy
ziggy
Teeete!
(ooh
mama
tetema)
Tipwa
tipwa
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Shuka
chini
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Tipwa
tipwa
tetema
(ooh
mama
tetema)
Aya
twende
tetema
(ooh
mama
tetema)
Shuka
chini
tetema
(ooh
mama
tetema)
Ayo
Lizer,
Chiii!!
Kichaa
kime-kime-kimepanda
Ame
wehuka
(Kime-kimempanda)
Kapandisha
mizuka
(Kime-kimempanda)
Ana
ruka
ruka
(Kime-kimempanda)
Kichaa
kime-kime-kimempanda
Kapanda
juu
ya
meza
(Kime-kimempanda)
Eti
anavua
shati
(Kime-kimempanda)
Kalewa
anacheza
(kime-kimempanda)
Yaani
varangati
Wasafi
Attention! Feel free to leave feedback.