Lyrics Hongera - Rich Mavoko
Yeyeee
baby.
baby
Yeaaahhh...
Niliambiwa
mapenzi
upofu
Katukatu
nkawakatalia
Kwako
usikue
na
hofu
Kabisa
nikaweka
macho
ya
bandia
Kumbe
na
chunga
mzinga
wa
nyuki
Bila
kuhofia
kuumia
Hadi
kwa
rafiki
nikajenga
chuki
Ili
kifua
kukukingia
Ukanipa
tunda
kinzani
Bila
kujua
lina
miba
Kwa
kusahau
tena
sidhani
Nikaweka
matanga
bila
msiba
Nilijitahidii
kuyaficha
mengi
wasione
Macho
shahidi
Kinachonifanya
nisonone
Uliponilaghai
ni
mwanya
Kumbe
ni
pengo
na
unajua
Ikanifanya
nikupende
sana
Mwishoni
kichwa
ukasumbua
Kwa
yote
uliyonitenda
(hongera)
Uliniumiza
mie
Kwa
vingi
ulivyo
vifanya
(hongera)
Acha
ukweli
nikwambie
Kwa
yote
uliyonitenda
(hongera)
Uliniumiza
mie
Kwa
vingi
ulivyo
vifanya
(hongera)
Acha
ukweli
nikwambie
Ulidhoofisha
kauli
yangu
Kwa
kutumia
ndimi
zako
Ikanilazimu
nafsi
yangu
Kuchukia
uwepo
wako
Nyingi
ahadi
ziliweka
kutu
Zakusubili
ubadilike
Kumbe
cha
mtu
huliwa
na
mtu
Ikanifanya
nifadhahike
Ulikata
kwa
nyembe
Nyuzi
nyembamba
ya
furaha
yangu
Ukanifanya
nisipende
Ule
udhalili
na
utu
wangu
Nilijitahidii
Kuyaficha
mengi
wasione
Macho
shahidi
Kinachonifanya
nisonone
Uliponilaghai
ni
mwanya
Kumbe
ni
pengo
na
unajua
Ikanifanya
nikupende
sana
Mwishoni
kichwa
ukasumbuaa
Kwa
yote
uliyonitenda
(hongera)
Uliniumiza
mie
Kwa
vingi
ulivyo
vifanya
(hongera)
Acha
ukweli
nikwambie
Kwa
yote
uliyonitenda
(hongera)
Uliniumiza
mie
Kwa
vingi
ulivyo
vifanya
(hongera)
Acha
ukweli
nikwambie
Oooohohh...
Kwa
yote
ulionitenda
Uuuuuuh...
hongera...
Attention! Feel free to leave feedback.