Lyrics Ibaki Story - Rich Mavoko
Hmm-aah
Hmm-mm,
hmm-hmm
Wasafi
Matapishi
ni
kinyaa,
huwezi
rudisha
tena
kwenye
kinywa
Japo
mengi
ulisema,
kama
nuru
ghafla
ukazima
Ikawa
ngumu
kukusahau,
nikasema
moyo
ukome
Kwa
kali
sulu
na
madharau,
penzi
ulivunja
na
ngome
Na
unajua
hata
nikilia
siwezi
kutokwa
na
machozi
We
ndo
ulifanya
macho
yangu
nione
wengi
waongo
Aa
ukaudhurumu
moyo
wangu,
uliuza
penzi
kwa
magendo
Leo
unatamani
wewe
kurudia
zamani,
ni
ndoto
Wewe
nirubuni
kwa
penzi
la
kidani
kama
mtoto
Mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
we
Mapenzi
mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
wewe
Mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
we
Mapenzi
mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
wewe
Kiliniumiza
kitanda
na
shuka
tuliolalia
Mapenzi
yana
siri
kubwa,
sishangai
mtu
akilia
Nimekubali
mboni
zangu
zimtazame
mwingine
Maridhia
ya
moyo
wangu
huenda
si
fungu
pengine
Cha
kushangaza
hadharani
mengi
ya
kuficha
ukaweka
wazi
Nikahisi
sijui
mapenzi,
labda
kwako
sinogi
nazi
Na
unajua
hata
nikilia,
siwezi
kutokwa
na
machozi
We
ndo
ulifanya
macho
yangu
nione
wengi
waongo
Aa
ukaudhurumu
moyo
wangu,
uliuza
penzi
kwa
magendo
Leo
unatamani
wewe
kurudia
zamani,
ni
ndoto
Wewe
nirubuni
kwa
penzi
la
kidani
kama
mtoto
Mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
we
Mapenzi
mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
wewe
Mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
we
Mapenzi
mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
wewe
Yalinitesa
mazoea
aya
Lakini
mi
nishazoea
mwaya
Ila
tambua
mapenzi
mabaya
Kidonda
chake
hakinaga
dawa
Ee
mazoea
aah
Lakini
mi
nishazoea
mwaya
Ila
tambua
mapenzi
mabaya
Kidonda
chake
hakinaga
dawa
Mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
we
Mapenzi
mi
na
wewe,
uuh
uuh
Mi
na
wewe,
acha
ibaki
story
mi
na
we
Mapenzi
mi
na
wewe,
uuh
uuh
Attention! Feel free to leave feedback.