Rich Mavoko - Niwahi Lyrics

Lyrics Niwahi - Rich Mavoko



Niko mahabani mambo sawaa
Sukari ya warembo cake ya taifa
Itaenda ndege wajee
Taratibu unaniliza babuu
Penzi limetaradali napepewa
Harufu ya marashirashi shingoni
Kwambamwie aliyemwambia nae kaambiwa



Writer(s): Rich Mavoko


Rich Mavoko - MiniTape
Album MiniTape
date of release
11-07-2020




Attention! Feel free to leave feedback.