Rich Mavoko - Roho Yangu Lyrics

Lyrics Roho Yangu - Rich Mavoko



Nimekuwa, kama samaki kutamani nisivoviweza kama ni tanga niliapa
Niowe muheza na kama kama bahati mwenzenu nilisha poteza siku izi
Ujanja nikunywa mchuuzi wa pweza.
Ai aya maneno walinena wazee wa zamani ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri
Ya ndani. Aya maneno walinena wazee wa zamani ukiwa
Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani. Masikini roho yangu mimi
Roho yangu mimi×2 me niache we nenda zako masikini
Roho yangu mimi ×3 me niachie we nenda zako masikini
Roho yangu mimi ×3 me niachie we nenda zako masikini
Roho yangu mimi ×3 Me niachie we nenda zako.
Uuum, mjini msingi kiuno kisha tengwa ndo bye bye
Ya msondo mpe ngurumo hayo mengine haya fai mbona penzi limechachanae
Wacha niguze ni achane naye asinigande ni gombane naye hakuna mapenzi
Usibishane naye. Ai aya maneno walinena wazee wa zamani ukiwa mjanja
Kuchapiwa ni siri ya ndani,
Aya maneno walinena wazee wa zamani ukiwa
Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani masikini
Roho yangu mimi ×3 Me niachie we nenda zako masikini
Roho yangu mimi ×3 me niachie we nenda zako masikini
Roho yangu mimi ×3 me niachie we nenda zako masikini
Roho yangu mimi ×3 me niachie we nenda zako
Uuumm oooae, roho yangu mimi, roho yangu mimi, roho yangu mama.




Rich Mavoko - Roho Yangu
Album Roho Yangu
date of release
20-02-2015




Attention! Feel free to leave feedback.