Lyrics Wanakutamani - Rich Mavoko
Wasafii
S2kizzy
Naomba
utunze
heshima,
ulilinde
na
jina
Nimekukabidhi
mtima,
aliyenipa
Karima
Yote
nimekubali
mimi
Mi
niko
tayari
niamini
Nikiwa
chizi
ni
wewe
(Aaah,
eeh)
We
ndo
sababu
Sitaki
moyo
wangu
uchezewe
(Aaah,
eeh)
Ntapata
tabu
Nachotaka
kuzaa
na
wewe
(Aaah,
eeeh)
Pendo
lako
la
dhahabu
Nije
kuzeeka
na
wewe
(Aaah
eeeh)
Bibi
na
babu
Wanakutamani
hao
Wanakutamani
hao
Wanakutamani
hao
Mwenzako
nia
ninayo
Wanakutamani
hao
(mi
nawajua
baby)
Wanakutamani
hao
(watakuchezea
mama)
Wanakutamani
hao
(wakishakuvua
baby)
Mwenzako
nia
ninayo
(watakuacha
solemba)
Mi
na
wewe
waarabu
kwa
wapemba
Tunajuana
baby
kwa
vilemba
Miaka
rudi
tena
miaka
nenda
Hawaning'oi
hata
kwa
kwa
defender
Yako
thamani
Mwengine
sijawahi
kuona
mama
Usiniweke
mashakani
Wakakudanganya
kwa
punje
za
mtama
Nikiwa
chizi
ni
wewe
(Aaah
eeeh)
We
ndo
sababu
Sitaki
moyo
wangu
uchezewe
(Aaah
eeeh)
Ntapata
tabu
Nachotaka
kuzaa
na
wewe
(Aaah
eeeh)
Pendo
lako
la
dhahabu
Nije
kuzeeka
na
wewe
(Aaah
eeeh)
Bibi
na
babu
Wanakutamani
hao
(oooh)
Wanakutamani
hao
(wanakutamani
mama)
Wanakutamani
hao
(wanakutamani...)
Mwenzako
nia
ninayo
(achana
naooo)
Wanakutamani
hao
(wanakutamani...)
Wanakutamani
hao
(baby
baby...)
Wanakutamani
hao
(wanakutamani...)
Mwenzako
nia
ninayo
Moyo
wangu
mi
nakupa
baby
usasambue
usasambue...
Mi
nakupa
usasambue
usasambue...
Fanya
unavyotaka
usasambue
usasambue
Ubakishe
mifupa
usasambue
usasambue...
Uniburuze
kama
guta
usasambue
usasambue...
Usasambue
usasambue...
Attention! Feel free to leave feedback.