Rich Mavoko - Wezele Lyrics

Lyrics Wezele - Rich Mavoko



Yeah yeah ...ayeee . (Badman)
Kama salio limekataa
Itauga cha kufataa
Baby back to the matter
Hiyo minyoosho matata
Asa asa tingisha wezele
Aaah wezele
Aaah tingisha wezele ilo wezele
Asa asa tingisha wezele
Aaah wezele
Aaah tingisha wezele ilo wezele
Ukikaona kama form 2, form 1
Ila age imekataa hivii
Sio mhindi mbaniani
Ila nakapendani
Mamilove mamilove
I wanna see you this night
Mamilove mamilove
Yako inabana inatight
Unachovya yote
Unapepeta unapepeta
Yaani kote kote
Unakeketa unakeketa
Ukipanga izo kodi oooh
Unapendeza sauti kama kwaya
Siwezi gonga hata hodi oooh
Makengeza kidume na retire
Kama salio limekataa
Itauga cha kufataa
Baby back to the matter
Hiyo minyoosho matata
Asa asa tingisha wezele
Aaah wezele
Aaah tingisha wezele
Ilo wezele
Asa asa tingisha wezele
Aaah wezele
Aaah tingisha wezele
Ilo wezele
Turn me on
Baby turn me on
Ukinipa pande na score
Naweka hata million
Nakupa hata milioni
Leo sitoi boko
Kama naugua kidege
(We mama weee, we mama weee)
Yaani nimelewa mbege
(We mama weee, we mama weee)
Ndani ya groundi, izo roundi
Zinanifanya niwekeee
Naforce ata poundi, ya soundi
Ya kukufanya ucheke
Mamilove mamilove
I wanna see you this night
Mamilove mamilove
Yako inabana inatight
Kama salio limekataa
Itauga cha kufataa
Baby back to the matter
Hiyo minyoosho matata
Asa asa tingisha wezele
Aaah wezele
Aaah tingisha wezele
Ilo wezele
Asa asa tingisha wezele
Aaah wezele
Aaah tingisha wezele
Ilo wezele



Writer(s): Rich Mavoko


Rich Mavoko - Wezele
Album Wezele
date of release
15-02-2019

1 Wezele




Attention! Feel free to leave feedback.