Rorexxie feat. Remmy Ongala - Maisha Lyrics

Lyrics Maisha - Rorexxie



Usiku umekucha tuamuke, wandugu tuamuke
Watu wote tuamuke kutafuta maisha furaha ya dunia
Aaah haina mwisho
Jogo amelia tuamuke, wandugu tuamuke
Watu wote tuamuke kutafuta maisha furaha ya dunia
Aaah haina mwisho
Furaha ya dunia haina mwisho
Tumezaliwa tumekuta furaha na taabu ulimwenguni
Kitu cha kwanza mutu kufikiria, Eeh
'KUWA NA MAISHA MAZURI, KULA VIZURI,'
'KUVAA VIZURI, PESA MFUKONI, BIBI MZURI,' maisha
Maisha weeh, nenda pole pole
Ukitaka kutafuta maisha amuka sasa
Awe wewe mukulima, shika jembe wahi shambani kwako
Awe mfanya kazi hamka asubui wende kazini mwako
Awe wewe mwanafunzi, uwende shuleni kwako
Maisha itakuja baadaye
Maisha weeh
Maisha wewe
Maisha weeh
Nenda pole pole
Usiku umekucha tuamuke, wandugu tuamuke
Walimwengu tuamuke kutafuta maisha, furaha ya dunia
Aaah haina mwisho
Jogo amelia tuamuke, wandugu tuamuke
Watu wote tuamuke kutafuta maisha, furaha ya dunia
Aaah haina mwisho
Maisha usikimbilie, maisha usikimbilie maisha
'Sikimbilie, maisha usikimbilie maisha
Maisha usikimbilie, maisha usikimbilie
Maisha henda pole pole, (maisha usikimbilie maisha)
Maisha tizama mbele yako (maisha usikimbilie maisha)
Maisha weeeh, usikimbilie (maisha usikimbilie maisha)
Maisha usikimbilie (maisha usikimbilie maisha) maisha
Maisha usikimbilie, maisha usikimbilie maisha
Maisha usikimbilie, maisha usikimbilie
Maisha henda pole pole, (maisha usikimbilie maisha)
Maisha tizama mbele yako (maisha usikimbilie maisha)
Maisha usikimbilie (maisha usikimbilie maisha) maisha



Writer(s): Remmy Ongala


Rorexxie feat. Remmy Ongala - Uwa La Waridi
Album Uwa La Waridi
date of release
30-09-2023




Attention! Feel free to leave feedback.