Ruby - Na Yule Lyrics

Lyrics Na Yule - Ruby



Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana au mzee
Niite jina langu baby
Huenda nafsi yangu itapoa
Shika moyo wangu baby
Unavyo kwenda mbio wewe utapoa
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado siyo mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu
Si-i-po radhi unitoke machoniii
Tembea nami ndotoniii
Ntakuweka moyoniii
Bila hofu rohoniii
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo unampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Ahhhhh
Baby, sitaki kutazama nyuma tena
Mmh, maumivu nilisha yaona
Wengi walinipotezea muda
Hakuna nilichokipata
Ah ah ah
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu
Si-i-po radhi unitoke machoniii
Tembea nami ndotoniii
Nitakuweka moyonii
Bila hofu rohoniii
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Bridge-
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana



Writer(s): Ruby


Ruby - Na Yule
Album Na Yule
date of release
16-06-2015




Attention! Feel free to leave feedback.