Sauti Sol feat. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini - Extravaganza Lyrics

Lyrics Extravaganza - Sauti Sol , Kaskazini , Bensoul , Nviiri The Storyteller



Ayeee
Rhumba imetamba
Sauti Sol in addi area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Bensoul alipofika alifunika, eeeh
Wakaja na madrama
Sinema zetu ni telenovela, eeeh
Wakasunda mizinga
Hawakujua si tuko mavela, ii-eeh
Wakaita polisi
Kumbe polisi pia ni shabiki, eeeh
Wakaficha msosi
Wakatupata na dishi mezani
Ayeee
Rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha (Kila kona, yo, yo)
Karibuni kwenye extravaganza
Nviiri alipofika alifunika, eeeh
Walifunga milango
Wakatupata tuko ndani nao
Wakaita makanjo
Kumbe ni sisi huwalipa salo (Wo-wo-wo-wo)
Wakazima mitambo
Shabiki wakabaki kwenye dance floor
Na iwe funzo kwao
Tunaongoza wanafuata nyayo
Ayeee
Rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Na Crystal alipofika alifunika, eeeh
Wakaja na umati
Wakageuka kuwa wafuasi
Wakaja na majini
Wakapata tushazama kwa dini
Nyele za kifarasi
Lakini si ni moto ya makasi
Risasi mwendo kasi
Dandieni msiwachwe na basi
Ayeee
Rhumba imetamba
Sauti Sol in addi area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Kaskazini walipofika walifunika, eeeh
Wakaenda kusini
Wakajipata wako kaskazini (Eeh)
Wakaja na magigi
Lakini si tukaja na muziki (Eeh)
Wo-wo-wo, ye-ye-ye
Hata wazime taa tutazidi kuparty
Wo-wo-wo, ye-ye-ye
Hizi vitu hazitakangi utiaji
Na wakiapisha, (Tunaapisha)
Na wakifunika, (Tunafunua)
Eh wakianika, (Tunaanua)
Na wakisafisha, (Tunachafua)
Ayeee, Rhumba imetamba (Mama, yo-yo-yoo)
Sauti Sol in addi area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
Ayeee, Rhumba imetamba
Sauti Sol in addi area kumechacha (mama yoyoyoo)
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Bibi ya wenyewe is a no-go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Bibi ya wenyewe is no-go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu



Writer(s): bensoul, crystal asige, kaskazini, nviiri the storyteller, sauti sol


Sauti Sol feat. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini - Extravaganza (feat. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini) - Single



Attention! Feel free to leave feedback.