Sauti Sol - Nairobi Lyrics

Lyrics Nairobi - Sauti Sol



Nairobi (Nairobi)
Nairobi (Nairobi)
Hii Nairobi
Nairobi (Nairobi)
Jua limewaka(Nairobi)
Kuna solar sana eeh
Warembo wamedunga (Nairobi)
Noma sanana
Majambaz wakomacho
Wakichora mchora
Na kasisi ahubiri
In the city
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini ni kupoa sana
You're my speciality
Like Miss congeniality
I'll open my life
Making my days (days)
So alive
I'm so alive yeah
I'm so alive
I'm so alive
Na-na Nairobi Kuna solar sana (solar sana)
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi umejawa mambo mengi
Shilingi wahitaji Nairobi
Hodi hodi
Nairobi lipa kodi
Kila siku ni hepi (hepi)
Nairobi kuna solar sana
Kijijini ni kupoa sana
(Nairobi) kuna solar sana
Kijijini ni kipoa sana
Sijaona jiji kama hili letu eeh
Kujivinjari kila siku ya wiki eeh
Yeah eeh eeh
Yeah eeh eeh
Ni party weeh (Ni party weeh)
Nairobi kuna solar sana (kuna solar)
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi kuna solar sana (Nairobi)
Kijijini ni kupoa sana aaah
Kuna solar sana (kuna solar)
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi kuna solar sana(Nairobi)
Kijijini ni kupoa sana aah
Kuna solar sana (kuna solar aah)
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi kuna solar sana (yeeeh yeh)
Kijijini ni kupoa sana
(Solar)kuna solar sana
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini ni kupoa sana
Nairobi (Nairobi)
Ni kupoa sana
(Nairobi)Kijijini ni kupoa sana




Sauti Sol - Mwanzo
Album Mwanzo
date of release
20-02-2015




Attention! Feel free to leave feedback.