Lyrics Uswahilini - Shetta
Fatality
Music
Wooosh
Shetta
Shetta
Shetta
Amini
kwamba
mzee
wa
Bwax
hapa
mtoto
wa
nje
ya
ndoa
Yo
Baba
Qayla
(Mesen
Selekta)
We
jamani
uswahilini
uswahilini
uswahilini
ndo
balaa
Wameoa
wameolewa
lakini
wanalala
bar
We
jamani
uswahilini
uswahilini
uswahilini
sio
poa
We
ndani
mtoto
wa
shekhe
na
nje
ndo
changudoa
We
cheza
kama
umelewa
(mama)
we
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(humo
humo)
we
kama
umetinga
(Baba
Qayla)
We
cheza
kama
umelewa
(mama)
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(ayi)
we
kama
umetinga
Eyo
uswa
uswa
uswa
uswa
uswa
uswahilini
Ugomvi
chumbani
burudani
kwa
jirani
We
chokochoko
uani
pia
na
vibarazani
Fitina
vijembe
Hadija
Kopa
haoni
ndani
Ila
Queens
wapo
huku
usiseme
kaja
na
nani
Kitano
kikifika
bora
ujipinde
na
taxi
Nagwa
kituoni
kwa
fix
wanangoja
basi
Zana
za
kikazi
zimefichwa
kwenye
nyasi
Siku
hizi
haukabwi
roba
unapigwa
tu
upper
cut
Ah,
kina
Siwema
makauzu
mpaka
basi
Mi
mwenyewe
nawakubali
wanavyoipiga
mitikasi
Vimini
kama
beach
kuvaa
chupi
hawataki
Vengine
fata
mkeo
kwao
jicho
la
samaki
Guest
kila
night
kama
bure
zipo
nyomi
Zima
taa
usiwe
live
wazee
wa
chabo
wapo
on
Utadhani
wame-pay
dirishani
na
mlangoni
Ukiwagumia
utasikia
usilete
za
kibabiloni
We
jamani
uswahilini
uswahilini
uswahilini
ndo
balaa
Wameoa
wameolewa
lakini
wanalala
bar
We
jamani
uswahilini
uswahilini
uswahilini
sio
poa
We
ndani
mtoto
wa
shekhe
na
nje
ndo
changudoa
We
cheza
kama
umelewa
(mama)
we
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(humo
humo)
we
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(mama)
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(ayi)
we
kama
umetinga
Maisha
ya
uswazi
mi
ndo
nimezaliwa
Ugali
unga
robo
samaki
wa
kulumagia
Aah
uswahilini
yani
full
laana
mtu
anapigwa
ngeta
mchana
kinomanoma
Aah
uswahilini
ndo
maisha
yetu
hatuna
whatsapp
yani
wala
facebook
Familia
kubwa
tunashindia
buku
Cheza
na
mida
utakuta
patupu
Uswazi
Uswazi
Huku
kwetu
maji
ya
kunywa
tunauziwa
kondomu
tunapewa
bure
Uswazi
Uswazi
Huku
kwetu
maji
ya
kunywa
tunauziwa
kondomu
tunapewa
bure
We
jamani
uswahilini
uswahilini
uswahilini
ndo
balaa
Wameoa
wameolewa
lakini
wanalala
bar
We
jamani
uswahilini
uswahilini
uswahilini
sio
poa
We
ndani
mtoto
wa
shekhe
na
nje
ndo
changudoa
We
cheza
kama
umelewa
(mama)
we
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(humo
humo)
we
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(mama)
kama
umetinga
We
cheza
kama
umelewa
(ayi)
we
kama
umetinga
Mesen
Utawaua
Ohooooooo
chuma
kwa
chuma
cheche
Aaah
Baba
Qayla
ugoko
wa
mende
biskuti
ya
chuma
Hii
hapa
hii
kataa
tuone
Chapaa
Nikienda
naenda
nao
(hao
hao
hao)
Nikirudi
narudi
nao
(mama)
Nikienda
naenda
nao
(hao
hao
hao
hao)
Nikirudi
narudi
nao
(humo
humo
humo
humo)
Aya
mbele
mbele
mbele
mbele
mbele
mbele
(jamani)
Nyuma
nyuma
nyuma
nyuma
nyuma
nyuma
Aya
twende
mia
mbili
mia
mbili
mia
mbili
hiyo
Mia
mbili
ipo
chini
mia
mbili
hiyo
Mia
mbili
mia
mbili
mia
mbili
hiyo
Mia
mbili
ipo
chini
mia
mbili
Aya
twende
tunainama
iokote
Tunainuka
we
iokote
Attention! Feel free to leave feedback.