Shetta - Wale Wale Lyrics

Lyrics Wale Wale - Shetta



Al habib
Shetta d shetta
Yo Baba Qayllah
Naaam
Ha ha ha
Michezo ya bata kuku haiwezi eh
Tuliwaambia
Ajobanjo
OK
Nisikilize kidogo
Japo maneno sio tendo
Tuchunge tusipoteze malengo
Aga aga
Mh Mama
Zikazuka songombingo
Eh eh eh
Nishazoea nanasi nanasi nanasi Mama
Tamu bila ukakasi ukakasi ndio unanichanganya
Jua ukali wake dada unaendana
Usije nipiga chini Mama nikashika tama
Na ntalia sana nitakupata kichaa
Oh lala oh lala lala
Ok
Basi walete
Wale walee
Tuwaonyeshe mashete
Wale walee
Wa ilala temeke
Wale walee
Ndio masaki manzese
Wale walee
Ok
Eh Basi walete
Wale walee
Tuwaonyeshe mashete
Wale walee
Wa ilala temeke
Wale walee
Ndio masaki manzese
Wale walee
Aga Jua pesa Sina
Usiwaze magari bajaji sina
Wala Kiki sina ndio kwanza mwenzako nasaka jina
Eh Jua pesa Sina
Usiwaze magari bajaji sina
Wala Kiki sina ndio kwanza mwenzako nasaka jina
Aga
Usije danga basi Mamaaa
Ukaizurumu Nafsi Mamaaa eh
Nishazoea nanasi nanasi nanasi Mama
Tamu bila ukakasi ukakasi ndio unanichanganya
Jua ukali wake dada unaendana
Usije nipiga chini Mama nkashika tama
Na ntalia sana nitakupata kichaa
Oh lala oh lala lala
Ok Basi walete
Wale walee
Tuwaonyeshe mashete
Wale walee
Wa ilala temeke
Wale walee
Ndio masaki manzese
Wale walee
Ok
Eh Basi walete
Wale walee
Tuwaonyeshe mashete
Wale walee
Wa ilala temeke
Wale walee
Ndio masaki manzese
Wale walee
Ok
Aga cheza jiangalie
Mh mh
Jiangalie
Mama cheza jiangalie
Aga mh
Jiangalie
Kaka Cheza Jiangalie
Ah aga
Dada cheza jiangalie
Aga mh
Jiangalie
Cheza jiangalie
Jiangalie
Cheza jiangalie
Jiangalie



Writer(s): Nurdin Bilal


Shetta - Wale Wale
Album Wale Wale
date of release
27-07-2017




Attention! Feel free to leave feedback.