Shilole - Lawama Lyrics

Lyrics Lawama - Shilole



Mmmhhhh
Kanga moko laki si pesa
Eh ni ndembe ndembe
Mwanzo mwisho
Na kiumbe le bosi
Enhhh mama masai na raiboni
Mwambie mama yoyo huu ni muhtasari tu wa habari
Salamu zake muali
Ehh tutuma!!!
Size yao
Hata kama sina
Siombi kwa mtu
Hata kama sinaanhhh
Siombi kwa mtu
Walimwengu nawajua hamkosi la kusema
Hawakosi hao ushutuuuh
Walimwengu nawajua hamkosi la kusema aahh
Nilikulia yamini ukaja kunisaliti iihihh
Nililijua mapema hilo
Ngao yangu ni rabara siwezi kujibizaaana ahahh
Asante babu
Nimekuzidi darajaaaa
Wewe ni bingwa wa kafara
Mimi nasimama na allaaaahhh
Hamniwezi babu
Usinizulie hunijuwi sikujuwi
Mjini tumekutana ya nini tunalumbana
Nyumba za kupanga lawama
Nahama dar es salama
Nahama ehhh
Nahama ahhh
Nahama sijazoea lawama
A nahama sijazoea lawama
Tatizo sio kodi tatizo maneno
Yamezidi ndani ya nyumba
Mpangaji sina raha
Anataka kitu huyo
Anataka kitu
Mpangaji sina rahaa
Fumba umfumbie mjinga
Mimi mwerevu ulinikuta mjini nikakupokea ×2
Waapiiiihh watu na bahati zetu babu
Waapiiiiiih kasafishe nyota yako babu eennhh
Maneno yanakutoka tu
Huniwezi aahnnhhh
Ushutuuuuuhh
Ehhhhhh erasto mashine irizi ya simba
Ehhhnnn wapeleke ujinini kwake bi mahimunaa
Sinai kajenje
Ehh acha vita ianze
Shilole classic
Ehh jitoe fahamu mama
Jitoe fahamu
A ahh ×4
Jiji rinahama yyhuuuhhh!!
Hashaaanhh
Wara wee
Kiki juni
Eh nawashindiria nawashindiria
Ehh chura anapenda maji lakini sio ya moto
Ray kigosi kanumba
Mtaumbua
Wapi steve nyerere
Mtu mzima b junior
Ye ye
Ahh
Ahh
Heshima yako kaka deo
Husseni nahariri husseni
Hariri
Baba mmoja
Mama mmoja
Ni kili record
Na mtoto mdogo shilole
Ahh
Lazima watulie
Ahh mama lala
Na kati ya mbezi
Mwanao nawajibika
Huyo mbona amenuna
Huyo mbona hasomeki
Huyo mbona amenuna
Huyo mbona hasomeki
Huyo mbona amenuna
Huyo mbona hasomeki
Huyo mbona amenuna
Huyo mbona hasomeki
Huyo mbona amenuna
Huyo ametiwa limbwata huyo sio kazi yake
A ah ah ah
Ukipewa utataka tena
Tena na tena
Ukipewa utataka tena
Tena na tena
Ukipewa utataka tena
Tena na tena



Writer(s): Shilole


Shilole - Lawama
Album Lawama
date of release
01-08-2012

1 Lawama




Attention! Feel free to leave feedback.