Ssaru - Nyama Lyrics

Lyrics Nyama - Ssaru



Keki cheki utamu ni ya keki keki
Najua unapenda vitu tasty
Niko na boobs na mtasty
Unataka nudes ucheki
Najua stingo za Imenti
Wacha nikam tuseti boy
Na ukae ukijua niko tempting
Papa we wako ni ngwati
Pornhub rada safi
Mimi na wewe tuko healthy ukimwi haitupati
Do it design ya soldier bang rarua mimi nitashona
Unasema unapenda naugty girls na venye wewe huwalima
Na vile unakuwanga na rungu man naona ukinifanya kisima
Ju hizo mashimo unachimba ndo zinafanya unajiskia mkulima
Yangu ni tight na haiko dry
Najua imesmile inangoja matym
Najua uko high na venye una syke
Nataka uichape mpaka ukinai
Na storo sema hii mchezo
Kabla uicheze unakulanga moshi
Na mwili ni ya mtu wa mjengo
Kabla unibomoe peana notice
Mwenzako anatafta doh
Naona uko busy unamangana na shosti
Kesho watakuita hoe
Utasema nisiwaskize hiyo ni roasting
Siku hizi nakucheki unaloose weight
Buda nini inahappen?
Umeanza kusota unachapa videadly
Tell me what is the problem
Na si eti nakudiscriminate
Ninja sitaki attention
Heri ungepiga punyeto
Post ya mimi ukae single
Mingle mingle ulisema unataka tumingle
Jiggle miggle tudance tu jiggle jiggle
Fimbo fimbo ina wiggle wiggle
You say you want a strangle until we get em wrinkles
Mingle mingle ulisema unataka tumingle
Jiggle miggle tudance tu jiggle jiggle
Fimbo fimbo ina wiggle wiggle
You say you want a strangle until we get em wrinkles
Now hold up hii ni horror
Mi ndo ule manzi mkora
Mi ndo nakuwanga mchafu
Mi ndo nafanya unaskia kunyora
Nakupeanga udaku
Mpaka unadhani Ssaru anakuchora
Nawakanyaga na viatu
Nawachafua nikitia fora
Ningekupea chance tatu
Though nimeshindwa sai mi ni baller
Na niko na sumu ya chatu
Naeza kumaliza kama kimoda
Kunifikia inabidi connections
Kuniharibia unahitaji perfection
Ukikosea we fanya correction
Hii ni hatia inaletanga tension
Facials, nimetoka kufanyiwa facials jana
Options, saa zingine nipeeni options bana
Phonecalls, I no longer pick their phonecalls sana
Hotdog, napenda vitu ziko tu na nyama
Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ya Ssaru(Ni Nyama)
Tamu (Ni Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ni steaky(Nyama)
Ni tasty(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ya Ssaru(Ni Nyama)
Ni Tamu (Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ni steaky(Nyama)
Ni tasty(Nyama)
Unasema you loving my game
Sai unasema nikupe kadate
Nacheki unatry kuimpress
Ndio at the end uni-undress
Si ati umenipa mapenzi
Boy unakuja kuleta ushenzi
Yes am the trophy of the game
And now things are good you try and not get me
You tryna imitate
Sisemi ni mbaya but stick on your lane
Mbaya Rostam kwa hizi crossbar
But line inamisbehave
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ya Ssaru(Ni Nyama)
Tamu (Ni Nyama)
Mingle mingle ulisema unataka tumingle
Jiggle miggle tudance tu jiggle jiggle
Fimbo fimbo ina wiggle wiggle
You say you want a strangle until we get em wrinkles
Mingle mingle ulisema unataka tumingle
Jiggle miggle tudance tu jiggle jiggle
Fimbo fimbo ina wiggle wiggle
You say you want a strangle until we get em wrinkles
Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ya Ssaru(Ni Nyama)
Tamu (Ni Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama nyama nyama(Nyama)
Ni steaky(Nyama)
Ni tasty(Nyama)



Writer(s): Sylvia Saru


Ssaru - Nyama
Album Nyama
date of release
05-02-2020

1 Nyama




Attention! Feel free to leave feedback.