Timmy Tdat - Tricky De Lyrics

Lyrics Tricky De - Timmy Tdat



Trikide, kuna vile we hufanya vitu tu v-tricky de
Ukitembea huku nyuma baby trikide
Hauna pimple zako dimple trikide
Baby gal you trikide kuna vile we hufanya vitu tu v-trikide
Ukitembea huku nyuma baby trickide
Hauna pimple zako dimple trikide
Fi gal uko safi si lazima ati uiback it up
Unakuanga juu usishuke baki top
Nataka unibless ni kama wewe ni pope
Halafu unipe peremende kama candy soap
Tena unafanyanga nahepanga mameeting
Hapo niko missing niko kwako tu mameeting
Wenye wivu wanataka kukucheki ukicom out
Wanataka kunicheki nimebaki alone
Hawataki kutucheki tunajenga home gal, nitadedi ukikam out so
Trikide kuna vile we hufanya feeling to be trikide
Ukitembea huku nyuma baby trikide
Hauna pimple zako dimple trikide
Baby gal you trikide kuna vile we hufanya vitu tu v-trikide
Ukitembea huku nyuma baby trikide
Hauna pimple zako dimple trikide



Writer(s): Timothy Owuor


Timmy Tdat - Tricky De
Album Tricky De
date of release
07-04-2017




Attention! Feel free to leave feedback.