United Freedom Collective feat. Clinchy Royal - UHURU Lyrics

Lyrics UHURU - United Freedom Collective feat. Clinchy Royal



Eeey cheki Clinchy Royal
Shout out United Freedom Collective
We are the future
The future leaders
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Leo nakill my ego
Ufala nimelet go
Nimeepuka kifo
Heart iko pure Nina amani
Goodlife nilikua natamani
Mayouth wanaumiza maini
Asubuhi bila breakfast ni makali
Niulize kwanini?
Too much pressure
Wera kustep kalesa
Rat race tuko blind ju ya pesa
Alikua talented akasahau his dreams
Kuuza mandom Nivile Hali iko
Uchumi imezorota, kusota
Hakuna form kuservive, tukistrive
Chini ya maji ni kama nimedive
Nagive thanks to God Niko alive
Nadai Peace niaje nimeturn to crime
Womother wanacry
Watoto wako alone
Depresion stress na trauma
Inafanya mamorio wanakoma
Addiction daily ni kuchoma
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Police brutality, kunihanda ju ya natty
Mah bigfish wanatuachia mabaki
Awatoi zile ndogo na bankiko ni ma laki
Nawategea parking
Niwashike merchandise
Siombi, Nadai haki yangu
Maombi, Napenda vile unajituma kijana
We si mang'aa
Blue print kama ya hovva
Faith ya Catholic Jehovah
Ntakafunga forever
Namurder msoto, bila kuwapiga koto
Nitajaza stadium
Nifly adi sweden, lazima ijipe
Nishaheal izo mangori zote
Nachase my dreams, ka siku zote
Eeey, eeey Ka siku zote
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Nataka freedom
Financial freedom
Nakupatia voice of my people
Nataka wisdom
Nimake decision
Nichange the life of my people
Shout out santuri, yoh
Tunacome na collection
Vile Niko booth, nawapatia Vitu smooth
Nataka freedom, nadai maganji
Niondokee watiaji
Nadai kukafunga



Writer(s): Robert Redway


United Freedom Collective feat. Clinchy Royal - UHURU - EP
Album UHURU - EP
date of release
19-07-2024



Attention! Feel free to leave feedback.