Unspoken Salaton - Kule Lyrics

Lyrics Kule - Unspoken Salaton

Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule

Hivi si hivi, hivi Ni vile mi najiskia
A scary place to be is the same place last year
We out here akuna kitu unaeza tuambia
Chukua umaskini ongeza chuki we utatuambia
Chocha Kwa caption tutese si kidogo ndo
Zikinituma Ni ma Mio Miondoko
Unaitwa my dear kidogo Huna idea
Walinifunza siwezi Wacha roho ikaumia
Unaskia vibaya unajimada tunakuchangia
Ye ana hasira ati amefura amenijamia
Vuka mipaka tunatengenezana proper
Mi hukata dry we unadhani ntakuogopa
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Haitaki hasira bro utapiga ngumi ukuta
Hapa Ni kuball tunaeza kuonyesha Hadi footwork
Zingine ufala ka si pombe Na wasupa
Naskia Ni wako Basi mfiche fisi anataka fupa
Sherehe imedonjo Ni sekete 2 by 2
Nacheki mpoa amejiseti what do I do
Denge Ni Peng ye akisonga anani confuse
So french kiss tukibonga Ni ma bonjour
Huku Ni Nai wakinshika nadeny,najifanya sijijui naeza chizi Na nizirai
Pale online wengi Wana live a lie
Ka unataka unaeza banja lakini usiniadvice!
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule
Aii sa umecatch,si ati najali Enda skia vibaya kule

Writer(s): Brian Salaton Lemaindo

Unspoken Salaton - Kule
Album Kule
date of release
04-10-2023

1 Kule

Attention! Feel free to leave feedback.