Unspoken Salaton feat. Depo Dice & AK45 Gunman - Zogo (feat. Depo Dice & Ak45 Gunman) Lyrics

Lyrics Zogo (feat. Depo Dice & Ak45 Gunman) - Unspoken Salaton




Zogo tunaleta side
Side hizo zenyu
Zugo tunaleta why
Hatupendi vibe hizo zenyu check
Bradhe kama si doh itabidi urudi kwenyu bet
Bradhe unapenda talk na hakuna vitendo
Zogo tunaleta side
Side hizo zenyu
Zugo tunaleta why
Hatupendi vibe hizo zenyu check check
Bradhe kama si doh itabidi urudi kwenyu bet bet
Bradhe unapenda talk na hakuna vitendo
Zogo naleta
Nilikukanya sa mbona unateta
Boyz alipita kwa chuom me nablink
Huzikapita ungedhani ni set up
Chini ma ticky nimepiga na ngepa
Si tuko serious na fala anacheka
Fala anatepwa
Spoken ndio jina nakuanga bazenga
Jele napiga ni bibwe
Gloves ni black anapiga za ushindi
Stivo alikuja visimple
Hapa ni drip ni airforce trendy
Man dem rapper alirudishwa default
Kama ni kutokwa alikosahadi pembi
Mbogi iko jicho hapa ni zogo nimefika na jeshi
Wananisaka na hawanipati ju ya venye nakuanga deep under the rim
Beat inagonga imesukwa na nani
Natingi mabega nikipiga limb
Fala anachocha kwa shingo mabati
Ntamshika mashati nikitoka kwa gym
Rapper alichapwa na hizo mistari
Ju pale kwa miti nilimcheki kwa meme
Boyz alikuja na moto aii
Hope he learnt his lesson
Si tulifikanga soko aii
Me ni ka nilisettle
Black on black nakuja vismooth
Naskia huyo boyz ni mgentle
Si tunapita na drill
Nakuja kuwateka na hii style kwa ghetto
Ju
Zogo tunaleta side
Side hizo zenyu
Zugo tunaleta why
Hatupendi vibe hizo zenyu check
Bradhe kama si doh itabidi urudi kwenyu bet
Bradhe unapenda talk na hakuna vitendo
Zogo tunaleta side
Side hizo zenyu
Zugo tunaleta why
Hatupendi vibe hizo zenyu check check
Bradhe kama si doh itabidi urudi kwenyu bet bet
Bradhe unapenda talk na hakuna vitendo
Napull up ki u-viking
Sharp kwa mbavu
Luku ni black juu chini
Runarob hadi usher si ni young thug
Hizi takes zimekua no limit
No shit tuko getho im wanted
Try kuniset unakatwa ulimi
Nilistash hiyo mali sai me sina
Feds wanao can see me
Sijui mbona unapenda kutalk na ni juzi block tulikuachia socks
Siezibeef na commedian si tuko streets wako booth wanarecord jokes
Nimerudi umoroto tena kureload glock nilijulia jela
Ni crash who but hi hukaa fiti chocalate ting wangeshi teller
Nilimpona maguire
Goon ni bitch alieda kureport kwa mbang'a
Kuna rumours kwa mtaa ati AK hajahit na kwa gram ashaanza kujifanya
You know what just fuck it
Pengting crib anapenda kunitoka majacket
Hakuna cap kwa hizi facs me huspit me ni real G
Ask them sijaikua rachet
Dance ka law tumepanga maseska
Ghetto yuts wamefanywa ancestors
Fuck mapopo fuck ma opp
Tuna phrase wrong rambo sauce na peptang
Head but head butt me hukua head butt
Nikisling hii handy stay back
Niko kwa crib na mpoa amebeba
Cold heart and i dont do favours
Zogo tunaleta side
Side hizo zenyu
Zugo tunaleta why
Hatupendi vibe hizo zenyu check
Bradhe kama si doh itabidi urudi kwenyu bet
Bradhe unapenda talk na hakuna vitendo
Zogo tunaleta side
Side hizo zenyu
Zugo tunaleta why
Hatupendi vibe hizo zenyu check check
Bradhe kama si doh itabidi urudi kwenyu bet bet
Bradhe unapenda talk na hakuna vitendo



Writer(s): Brian Salaton Lemaindo



Attention! Feel free to leave feedback.
//}