Vanessa Mdee feat. Mohombi - Kwangu Njoo Lyrics

Lyrics Kwangu Njoo - Mohombi , Vanessa Mdee



Kwangu Njoo
Vee Money on the track...
Tabasamu toka kwa mama
Ukimya na upolee kwa baba
Katukutanisha rabana baby
Macho yako yanitazama sana
Kama uliniona jana
Moyo ndani unabishana
Hata ntake kuongea
Kweli oooh, nishamvuruga
Kwahiyo anavuta muda
Sio siri oh oh oh hataki kunikosa
Muda wote anajaribu nia yake niwe karibu
Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (yagaeeenh)
Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)
Mohombi
(Mohombi)
Ooooh, there she goes
Looking at me, pretty girl looking so sweet
Yeah she knows I'm looking at her
Tryna have her come to me
Oooh that love is on fire
And it's not hard to see
That you're my only desire
You're the only one I need
I don't know any much about get back let see
But I know that this must be destiny
Oooh maàwee
Yakobongayaee (ma chèrie)
Yakobongayaee (my love)
Yakobongayaee (my one and only)
Yakobongaaa
Kwangu njoo mama eeh (kwangu njoo)
Yagaeeenh (kwangu njoo)
Kwangu njoo, ma chèrie (kwangu njoo)
Come to me
Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (yagaeeenh)
Kwangu njoo (kwangu njoo, ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)
Kweli oooh, nishamvuruga
Kwahiyo anavuta muda
Sio siri oo oh oh hataki kunikosa
Muda wote anajaribu nia yake niwe karibu
Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (yagaeeenh)
Kwangu njoo (kwangu njoo, ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)




Vanessa Mdee feat. Mohombi - Money Mondays
Album Money Mondays
date of release
15-01-2018



Attention! Feel free to leave feedback.